Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Sio Kweli Mkuu Hao Ndio Wanaofanya Meditation Kuonekana Inalalia Imani Fulani Fulani Moja Kati Ya Kauli Mbiu Ya Kuelezea Meditation Inasema

"Prayer Is When You Speak With God, Meditation Is When You Speak With You"
you are you....

Sasa Mfano Wewe Unaareji ya Nyama Ya Mbuzi Ukila Nyama Ya Mbuzi Unasinzia Mwili Unakosa Nguvu Kwakuwa Uelewa Wako Mdogo Sio Kweli huu mfano

"Unaanza Meditation Sasa Ili Kuikwepa Ile Hali Unaona Sheria Yangu Ya Kwanza Hakuna Kula Mbuzi"

Siku Ukipata Mwanafunzi Lazima Tu Utamwambia Asile

Kama Umefanya Meditation Sahihi Mkuu Ubongo Ndio Unakuwa Unakupa Taarifa Kuwa Hapa Unahitajika Mchicha Hapa Inahitajika Chai Hapa Inahitajika Supu..

Vyakula Ulivyokuwa Na Areji Navyo Utaanza Kula Kimoja Kimoja Utaona Muujiza Lakini Utashangaa Havikuzuru Hamu Ya Kufanya Mambo Ya Maendeleo Unadumu Zaidi Kuzubaa Zubaa Kunaisha Kuumwa Kichwa au mwili hovyo hovyo unasahau..

ukiona mtu anafanya meditation hali mayai basi jua huyo mwalimu wake alimkaririsha hivyo Mkuu..

Utajikuta Unakula Yakula Ya Kujenga Mwili Utapenda Kufanya Mazoezi Mazuri Utakuwa Mwepesi Sumu Za Madawa Mwilini Zitakutoka Mapepo Wenye Nayo Huwakimbia Pia... ni faida nyingi sana hazielezeki kwa maandishi tu


"Rakims"

Rakims, kutokula nyama, samaki au mayai au kupractisevegetarianism sio sababu ya imani bali ya kidini kwa ajili ya ku attainstate of body and mind ambayo iko cum iliuweze kuipita (transcending ofmind) or go beyond the mind ndio maana inakuwa vigumu kwa mvuta bangi aumlevyi kutuliza akiri. Unless kama unafanya meditation kwa sababu ulizozitualakini meditation pia ndio njia sahihi ya kumjua mungu.

Apart from body and mind, kuna self ambayo ndio true nature yetu kwa kuwa kwenye self tuu ndio tunawezajua mungu kwani katuumba kwa mfano wake. Its true when meditating you speakwith yourself but then you will realize god is in you and you and God are one.I and I is one love and bliss, everything you see is in you but is transformationof colors, sounds, tastes limited in time and space.
 
Vegetarianism and Meditation:

Ni kweli sio lazima kuwa vegiterian lakini inasadia sanakupata utulivu, kwa nini vegetable? Unajua kwa nini wanasema tumeumbwa kwa mavumbi, kwasababu miili yetu ni matokeo ya tulavyo na tunywavyo ambavyo water, earth andfire.

Vyote vinatoka aridhini kwa generation mbalimbali, generation ya kwanzani kwenye maji, mboga, matunda, na yapili ni nyama, maziwa, mayai na samaki. Hii ya pili inategemea ya kwanza. Tofauti ya pili kwa ya kwanza ni kwa iko moreviolence hence vibrating kuliko ya kwanza, we are what we eat, hata wanyawawalao majani ni wapole kuliko kuliko walao nyama, hata mtu anayekula sana nyama anakuwa machachari zaidi ya Yule asiyekula.

Unakuwa makini zaidi kama huli nyama na huu ndio ukweli.
 
Vegetarianism and Meditation:Ni kweli sio lazima kuwa vegiterian lakini inasadia sanakupata utulivu, kwa nini vegetable? Unajua kwa nini wanasema tumeumbwa kwa mavumbi, kwasababu miili yetu ni matokeo ya tulavyo na tunywavyo ambavyo water, earth andfire. Vyote vinatoka aridhini kwa generation mbalimbali, generation ya kwanzani kwenye maji, mboga, matunda, na yapili ni nyama, maziwa, mayai na samaki.Hii ya pili inategemea ya kwanza. Tofauti ya pili kwa ya kwanza ni kwa iko moreviolence hence vibrating kuliko ya kwanza, we are what we eat, hata wanyawawalao majani ni wapole kuliko kuliko walao nyama, hata mtu anayekula sana nyama anakuwa machachari zaidi ya Yule asiyekula. Unakuwa makini zaidi kama huli nyama na huu ndio ukweli.

Asante mkuu msafiri , sasa hoja yangu inaelekea itapata majibu, kwa namna ilivyo kwa sasa ni kwamba meditation inakuwa inafanywa na makundi fulani fulani yenye nia au malengo yanayofanana sasa hili suala la kuwa vegetarian kwa baadhi ya societies ni lazima,

je hakuna societies zingine ambazo wanafanya meditation na wakati huo huo wanakula nyama, samaki na mayai, na ikiwa zipo naomba kujua wapi wanapatikana, pia kwa wale wanao meditate wakiwa vegetarian wanaweza kupata madhara gani endapo watakula nyama, samaki na mayai?
 
Hivi kiongozi,naweza kufanya meditation nikiwa katika matembezi binafsi peke yangu katika sehemu zilizotuli?nikiwa natembea?

ndio mkuu tena inakuwa bora maana itakusaidia kuweza kutuliza mawazo sehemu moja damu kuchemka vema na misuli pia mifupa kuwa na afya.

"Rakims"
 
Asante mkuu msafiri , sasa hoja yangu inaelekea itapata majibu, kwa namna ilivyo kwa sasa ni kwamba meditation inakuwa inafanywa na makundi fulani fulani yenye nia au malengo yanayofanana sasa hili suala la kuwa vegetarian kwa baadhi ya societies ni lazima, je hakuna societies zingine ambazo wanafanya meditation na wakati huo huo wanakula nyama, samaki na mayai, na ikiwa zipo naomba kujua wapi wanapatikana, pia kwa wale wanao meditate wakiwa vegetarian wanaweza kupata madhara gani endapo watakula nyama, samaki na mayai?

Kupata utulivu ni trick inayoendana na uzoefu, mara nyingi sana hutakutana na mwalimu wa meditation asiyetaka kwanza uwe vegetarian ndio akupe initiation, na atapenda uendelee hivyo through out the Path.

Ni vizuri kuanza kuwa vegiterian lkn sio vizuri kuwa vegetarian kwa muda mrefu bila kutumia substize pills na hasa huku Africa ambako kilimo bora hakizigatiwi unakuta unasababisha mapungufu mengi mwilini.

Hakuna madhara yeyote unayopata wa kuacha kuwa vegetarian zaidi sycological ambayo inatokana na kuaminishwa kwamba nyama haipaswi kuliwa kama muislamu kula nguluwe na pia huongeza mapepe mwilini ambayo inakupa usumbufu kwenye meditation session zako. Pia sijawahi sikia kuna kundi linafanya meditation bila kuwa vegeterioan.
 
Kupata utulivu ni trick inayoendana na uzoefu, mara nyingi sana hutakutana na mwalimu wa meditation asiyetaka kwanza uwe vegetarian ndio akupe initiation, na atapenda uendelee hivyo through out the Path. Ni vizuri kuanza kuwa vegiterian lkn sio vizuri kuwa vegetarian kwa muda mrefu bila kutumia substize pills na hasa huku Africa ambako kilimo bora hakizigatiwi unakuta unasababisha mapungufu mengi mwilini. Hakuna madhara yeyote unayopata wa kuacha kuwa vegetarian zaidi sycological ambayo inatokana na kuaminishwa kwamba nyama haipaswi kuliwa kama muislamu kula nguluwe na pia huongeza mapepe mwilini ambayo inakupa usumbufu kwenye meditation session zako. Pia sijawahi sikia kuna kundi linafanya meditation bila kuwa vegeterioan.

Asante mkuu, sasa kwa hapa dar es salaam wapi kuna venue za meditation? Maana uzuri wa haya mambo ufike kwa wahusika ndio wakupe miongozo sahihi na uangalizi wa karibu,
 
Asante mkuu, sasa kwa hapa dar es salaam wapi kuna venue za meditation? Maana uzuri wa haya mambo ufike kwa wahusika ndio wakupe miongozo sahihi na uangalizi wa karibu,

Lifewave au zamani wakikuwa wanaitwa PATH. Ngoja nifanye uchunguzi kujua session zao wafanya wapi exactly
 
Asante sana, nasubiri mrejesho toka kwako mkuu

Kwa Msaada Zaidi Jitahidi Upate Wanapofanya Meditation As Self BELIEF Usiende Pale Panapofanya Kidini Huwezi Kufaulu Utaishia Kama Pasco....
 
Hawa path wapo chang'ombe maduka mawili jaribu na stend ya daladala!

Soon Nitajiunga Na Mtu Au Watu Kidogo Wenye Ideas Kidogo Na Meditation Kama Pasco,Mshana Jr & Mwingine Mwenye Ideas Kidogo Na Hii Mambo....

Halafu Tutainform Watu Baada Ya Kukutana Sisi Na Kupanga Jinsi Ya Kuongoza Wanafunzi Live Practice Siku Moja Kwa Wiki Halafu Siku Sita Mtu Unafanya Mazoezi Siku Ya Saba Unaleta Marejesho Na Hatua Zingine Ziendelee... Hadi Kila Mtu Atakapo Fika Sehemu Nzuri Kiasi Chake.....

Mnasemaje Cc: Pasco & mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Soon Nitajiunga Na Mtu Au Watu Kidogo Wenye Ideas Kidogo Na Meditation Kama Pasco,Mshana Jr & Mwingine Mwenye Ideas Kidogo Na Hii Mambo....

Halafu Tutainform Watu Baada Ya Kukutana Sisi Na Kupanga Jinsi Ya Kuongoza Wanafunzi Live Practice Siku Moja Kwa Wiki Halafu Siku Sita Mtu Unafanya Mazoezi Siku Ya Saba Unaleta Marejesho Na Hatua Zingine Ziendelee... Hadi Kila Mtu Atakapo Fika Sehemu Nzuri Kiasi Chake.....

Mnasemaje Cc: Pasco & mshana jr
rankims hii ni idea nzuri mno nilishawahi kusuggest hivi sasa ni wakati muafaka wa kufanya kwa vitendo
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wote wa hili jukwaa nawasalimu. mimi nipo kenya ba mimi mkenya but napenda jamii forums sana,kupitia jf nimejifunza mengi,mkuu rakims naomba uniunge na group ili nifaidie pia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom