Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ok Vema Sema Nimepata Ur Contacts Nitakutafuta Tuzungumze Hili...
Rakims
OK thanx
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok Vema Sema Nimepata Ur Contacts Nitakutafuta Tuzungumze Hili...
Rakims
Soon Nitajiunga Na Mtu Au Watu Kidogo Wenye Ideas Kidogo Na Meditation Kama Pasco,Mshana Jr & Mwingine Mwenye Ideas Kidogo Na Hii Mambo....
Halafu Tutainform Watu Baada Ya Kukutana Sisi Na Kupanga Jinsi Ya Kuongoza Wanafunzi Live Practice Siku Moja Kwa Wiki Halafu Siku Sita Mtu Unafanya Mazoezi Siku Ya Saba Unaleta Marejesho Na Hatua Zingine Ziendelee... Hadi Kila Mtu Atakapo Fika Sehemu Nzuri Kiasi Chake.....
Mnasemaje Cc: Pasco & mshana jr
mara nyingi namwota mtu aliyekufa tena muda mrefu, nlishawahi kuota bibi yangu kafia nje na kweli akafia palepale nilipoota, nlishawahi kuota nadondoka sehem ya juu sana na kumbe nlikuwa nadondoka kitandani.
Rakims nilipokuwa mdogo kijijini kwetu nilishuhudia si chini ya mara tatu watu wakifa zaidi ya SAA 24, yani anazima kabisa halafu anazinduka anaongea mabaya yake yote kama kumuua Fulani kumloga Fulani nk nk ! Watu wa jinsi hii walikuwa wakifa ilikuwa ni burudani kweli kijijini kwetu manake wale wote waliofiwa au kupotelewa na ndugu zao ndio ilikuwa wakati muafaka wa kusikiliza breaking newshii niliwahi kuisoma sehemu lakini sina ujuzi nayo sana mkuu
"Rakims"
Boss sikuligundua class hii nlkuwa naingia kule sijui nmechelewa hiki kitu sitak kukosa naomba niwe katka group what's app nipate elimu
Nafikiri Mkuu Rakims Hapa Ndio Ungeendeleza Darasa Hili Kwa Ufasaha Zaidi Maana Kule Kwenye Uzi Wa Psychic Powers Kuna Viherehere Wanatuchafulia Nafikiri Ungehamishia Somo Upande Huu Ili Wanaoleta Udini Tuwape Dawa Yao Kabisa Waache Kutusumbua,ni Ushauri Tu Natoa Angalia Namna Nzuri Ya Kufanya Mkuu
Asante
Shukran! Mkuu Mshana Jr... Kwa Maisha Ya Kitanzania Hii Kitu Ni Ngumu Kiasi Lakini Once Someone Says I Can Be What I Wanna Be Its Easy... So Ni Mtu Mwenyewe Kujitune Kama Ulivyosema...
#Rakims
Nadhani Umefika Muda Muafaka Wa Kurudisha Group Ya Meditation WhatsApp Ila Nahitaji Wanafunzi Wangu Waliokuepo wenye nia kama mshinyanga Barahambaye na bablee n ben.... nimewakumbuka na wengine wawili watatu hapa kama brasy coco mradi kuwepo na watu saba au kumi tukamilishe hii kitu kwanza.... Lakini Kwa Sharti Moja Practice Without Loss A Day And Twice Huwezi Kupractice Usiombe Nafasi Kufurahisha Macho.....