Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Soon Nitajiunga Na Mtu Au Watu Kidogo Wenye Ideas Kidogo Na Meditation Kama Pasco,Mshana Jr & Mwingine Mwenye Ideas Kidogo Na Hii Mambo....

Halafu Tutainform Watu Baada Ya Kukutana Sisi Na Kupanga Jinsi Ya Kuongoza Wanafunzi Live Practice Siku Moja Kwa Wiki Halafu Siku Sita Mtu Unafanya Mazoezi Siku Ya Saba Unaleta Marejesho Na Hatua Zingine Ziendelee... Hadi Kila Mtu Atakapo Fika Sehemu Nzuri Kiasi Chake.....

Mnasemaje Cc: Pasco & mshana jr

safi sana mkuu Rakims hao uliowataja wapo vizuri naamini lengo litatimia!
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa Vema...! Karib

Rakims
Rakims hebu tuone kama kwa kuanzia tunaweza fanya hii wakati wa weekend ndefu ya Pasaka, tujipe muda wa kutosha kuanzia sasa tuone tunajipangaje na kuthibitisha ushiriki kwa wale wote watakaopenda kushiriki
 
Wazo Zuri Pia Mkuu....

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
mara nyingi namwota mtu aliyekufa tena muda mrefu, nlishawahi kuota bibi yangu kafia nje na kweli akafia palepale nilipoota, nlishawahi kuota nadondoka sehem ya juu sana na kumbe nlikuwa nadondoka kitandani.
 
hiyo ni psychic power inaitwa dealth warning..
 
hii niliwahi kuisoma sehemu lakini sina ujuzi nayo sana mkuu

"Rakims"
Rakims nilipokuwa mdogo kijijini kwetu nilishuhudia si chini ya mara tatu watu wakifa zaidi ya SAA 24, yani anazima kabisa halafu anazinduka anaongea mabaya yake yote kama kumuua Fulani kumloga Fulani nk nk ! Watu wa jinsi hii walikuwa wakifa ilikuwa ni burudani kweli kijijini kwetu manake wale wote waliofiwa au kupotelewa na ndugu zao ndio ilikuwa wakati muafaka wa kusikiliza breaking news

Na hawa watu walikuwa hawafi mpaka waseme yote vilikuwa Vigo vya mateso hasa na aibu pia
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri Mkuu Rakims Hapa Ndio Ungeendeleza Darasa Hili Kwa Ufasaha Zaidi Maana Kule Kwenye Uzi Wa Psychic Powers Kuna Viherehere Wanatuchafulia Nafikiri Ungehamishia Somo Upande Huu Ili Wanaoleta Udini Tuwape Dawa Yao Kabisa Waache Kutusumbua,ni Ushauri Tu Natoa Angalia Namna Nzuri Ya Kufanya Mkuu
Asante

kweli bwana kule kunapoteza time baada ya kupata elimu watu wanaleta iman zao MTU kama ajavutiwa kwann asipitie kando
 
Ahsante Na Karibu Mkuu..!

#rakims

Me nataman utuandie japo mashiti tu yangetusaidia zaidi na ungepunguza kaz ya kuandka net pia kukupa motisha kungekuwa na kiada kidogo kama hiyo group ya what's app nzur nam naitaka lakn naona tutafute njia mbadala ya darasa tupate elimu ya kina
 
Shukran! Mkuu Mshana Jr... Kwa Maisha Ya Kitanzania Hii Kitu Ni Ngumu Kiasi Lakini Once Someone Says I Can Be What I Wanna Be Its Easy... So Ni Mtu Mwenyewe Kujitune Kama Ulivyosema...

#Rakims

kwa kwwli kila nkisoma nahisi sitosheki nahisi nkubebe unifahamishe zaidi nlitafuta ckujua njia
 
Nadhani Umefika Muda Muafaka Wa Kurudisha Group Ya Meditation WhatsApp Ila Nahitaji Wanafunzi Wangu Waliokuepo wenye nia kama mshinyanga Barahambaye na bablee n ben.... nimewakumbuka na wengine wawili watatu hapa kama brasy coco mradi kuwepo na watu saba au kumi tukamilishe hii kitu kwanza.

Lakini Kwa Sharti Moja Practice Without Loss A Day And Twice Huwezi Kupractice Usiombe Nafasi Kufurahisha Macho.....

Rakims
 
Last edited by a moderator:
Nadhani Umefika Muda Muafaka Wa Kurudisha Group Ya Meditation WhatsApp Ila Nahitaji Wanafunzi Wangu Waliokuepo wenye nia kama mshinyanga Barahambaye na bablee n ben.... nimewakumbuka na wengine wawili watatu hapa kama brasy coco mradi kuwepo na watu saba au kumi tukamilishe hii kitu kwanza.... Lakini Kwa Sharti Moja Practice Without Loss A Day And Twice Huwezi Kupractice Usiombe Nafasi Kufurahisha Macho.....

Rakims

Itakapoanza hiyo whatsapp group au darsa lolote lile juu ya tahajudi, nami nimo tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani Umefika Muda Muafaka Wa Kurudisha Group Ya Meditation WhatsApp Ila Nahitaji Wanafunzi Wangu Waliokuepo wenye nia kama mshinyanga Barahambaye na bablee n ben.... nimewakumbuka na wengine wawili watatu hapa kama brasy coco mradi kuwepo na watu saba au kumi tukamilishe hii kitu kwanza.... Lakini Kwa Sharti Moja Practice Without Loss A Day And Twice Huwezi Kupractice Usiombe Nafasi Kufurahisha Macho.....

Rakims

na me nina nia pia 0689 406798
 
0689601294
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom