Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

Mkuu,kwahiyo tusioe siyo!!!,kwamaana tukioa ni ngumu sana kujikumbuka. Hata wewe umejikumbuka baada ya kutoka huko.
Nyie oeni tu ila sasa ndio tunawashtua ili mkiamza kujisahau mkumbuke kuwa kuna suala ambalo ni muhim kulifanyia kazi
 
Kuna ka msemo.na mimi huwa sikapendi
"MWANAUME HATAKIWI KUPENDEZA SANA WENYE PESA HAWANA MUDA WA KUPENDEZA.
 
Mungu ni mwema tope hilo halijapata nafasi kichwani kwangu 🤭
Aahah.
BAs kumbe hujajua namna akili ya mwanadamu inavyo operate. Ever heard of the so called subconcious mind?
Basi jua hili tope lisha zama deep down there. One day utalikumbuka na kama sio kulifanyia kazi weww basi utamshauri mwingine alitumie.
Wait and see
 
Congratulations on being enlightened.
 
Where is your dearest waifu by now ?
 
Hizi gym nazo kama zimeleta ushamba flani, wanaofanya mazoezi wanachukulia ambao hawafanyi kama mazoba au nendawazimu. Wewe penda gym bhana wengine kazi wanazofanya ni zaidi ya mazoezi na kumbuka siku zote wenye pesa hawazungumzi sana maana wanafahamu athari zake!
 
Sawa. Uko sahihi sana.
 
Wonderful
 
Kuna sie wengine kununua nguo tunaona ubahili, ila ukipigiwa simu gari inataka spare parts ya million 5 pesa unatoa muda huo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…