Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

X-wife anateseka,,amini kwamba
Aah sijui. Jana kanipigia simu.
Nilipopokea na kumaliza kusalimiana akanambia "ongea na watoto kwanza (ka last born-anasema kameni miss kanamsumbua, the second born- borthday yake weekend hii anasema anahitaji keki). Tulipomaliza akanambia "nina shida".
Baada ya kumsikiliza ni kwamba amekutana na changamoto ya masuala ya taarifa zake kama mtumishi na aliitwa Utumishi kuambiwa aweke taarifa sawa na hilo zoezi lina makosa kuanzia kwenye vyeti vyake.
Sasa kahangaika weeeee mambo ya forgery kota anakutana na mizinga mizito. Finally ndio kunipigia mimi sasa maana anajua harakati zangu, sio nying ila nina circle ambayo baada ya divorce akaja jua kuwa hakuwah kuijua.

Sikua na mambo mengi nikamwambia "usijali, jumamosi asubuhi utapokea parcel". Sijamtaka hata 100 mbovu 😂. Ila nilihakikisha namrekodi maelezo yake yoote kwenye simu just incase
 
mi nimekwambia,huko moto unawaka sema ugumu tu,muda si mrefu utasikia baba fulani naomba nitafute sehemu tulivu tuongee🤣🤣
 
Precisely, mke anayekupenda hawezi kukuona umechoka na nguo moja tu. Mke anayekupenda atapita duka la nguo na kukuchukulia cadet moja matata ili upendeze...

....changamoto ni kupata mke wa namna hiyo, asiye mbinafsi na anayekupenda.
Hahaa kuna mwanangu uyo ukimuona amewaka ukamsifia "Aah shehe leo umewaka" anajibu "Aah mambo ya mama Dida ayo ananunua nguo alafu anazificha" yani mkewe kuna pamba anafanya kuzificha mana akiziweka wazi zote mjomba yeye hajali anasalambagila zote alafu akipata mtoko wamaana inakuwa aibu
 
Ahahahahah.
Jamaa imebidi afanyiwe kama tulivyokua tunafanyiwa enzi tukiwa watoto na mama zetu
 
Kweli mkuu inatakiwa siku moja moja kwenye Matembezi ukikutana na Viatu au Nguo unaccompanied pesa una nunua lakini bila hivyo mambo yatakua Magumu tofauti na wenzetu wazungu wao wanakua na Nguo nyingi na Viatu sijui wao mfumo wao wa ndoa au uchumba upoje
Kabisa yaani mimi nina 7 yrs nw sijawahi kununua kitu kizuri kwa ajili yangu iwe nguo, viatu au cosmetics. Automatically nimeswitch kwenye cheap things na vizuri vyote na expensive nanunulia watoto.

Juzi nilikuwa naangalia insta page ya dada mmoja anaitwa Niffer anauza cosmetics nikaona jinsi wadada wanajispoil, how they keep skin care routines then nikajisema let me find my self again kama nilivyokuwa zamani nimejisahau mno.

Wenzetu wazungu wanajipanga kila kitu wanafanya kwa malengo kiasi kwamba ndoa na watoto hawaathiri mfumo wa maisha yao, sisi hatuna hizo akiongezeka mtoto mmoja tuu anakuwa ameharibu system nzima ya life hasa sisi low na middle income earners.
 
Ndio huyo mkuu, kijana maarufu kuliko kizazi chenu chote combined
Bablai me legend,namjua Chaba toka enzi hizo na kina Faza Nelly(RIP)
toka enzi za kina Donii wanaanzisha Watengwa na mwanae Chindoman Umbwa mzee na Jakobo Makala(JCB)
toka enzi Nyokaa na Dogi Danger wako hai
 
Mimi ndugu zangu wasiponiwahi huyu mwanamke wa kichaga ataniua ***** nimekongoloka nimebakisha masikio tuu yamesimama.
 
Screenshot_20250824_062720.jpg
mleta mada mbona napata taswira kama hiyo apo, kichwani kwangu?
Any way wapo baadhi ya waname ambao wao wasipopata mwanamke wa kuwajali na kuwanunulia ata boxa huwa hawajali, anaeza kuvaa boxa moja, mwaka mzima,
Na Kuna wengine pamoja na majukumu Bado wanajitengea fungu na muda wa kujijali, unakuta jamaa ana mwanamke mrembo, PC ya kwenda kabisa kila siku jamaa ni kutoboka tu, alafu ukija Kwa jamaa mwenyewe ss, simu kafunga rubber band, wanaumeeeeee tustuke Kuna aina ya kautapeli tunafanyiwa Kwa kisingizio Cha kuijali familia😎
 
Mimi ndugu zangu wasiponiwahi huyu mwanamke wa kichaga ataniua ***** nimekongoloka nimebakisha masikio tuu yamesimama.
Kimbia mapema, ndugu huwa wanaona mchezo ila sasa usipowapa collabo hawawez kuingilia ngoma yenu, mpaka wapate sababu. Wasije wakatoa ushauri ukawageuka kuwa wanataka kuwafanya wanao wakiwa 😂
 
Back
Top Bottom