Alinizingua kuna mchungaji aliingilia penzi, Watoto nilishapigwa marufuku hata kusogeza pua na wameishapandiwa chuki kuwa nilitaka kumuua mama yao, na walitabiliwa na huyo mchungaji kuwa nawaroga ili wafe.. ila kabinti kananipenda japo kamepandiwa chuki, nilipata story kwa jamaa yangu kuwa kila kakimuona kanalia kweli kaletwa kanione.. inshort watoto kama nime dhulumiwa ila watanitafita tuu .. ndio kuna siku nikawa naona thread ya Dr. gwajima anasema wababa tunatelekeza watoro, nimawa nacheka kwa ground huyo muheshimiwa haelewi jambo