Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

Kwann hutaki. Ni wewe au yeye aliyevunja ndoa? Na kwann akitake saa hizi after 2 years? Nini kimemkuta?
yeye mjinga, ndio alinipeleka mputa mputa, ile kutengana hata miezi sita haijafika nikaanza pigwa vita na vigisu na kuchafuliwa juu, mala paaa, naitwa baraza la solution mala paaa Mahakamani sinakaa vizuri, pigwa pin hakuna kuona hata watoto malaa paaa.. nilipigwa kama mpira wa konaa.. sasa hivi mie shegaaa naneeepaaaa vizuriii shavu dodo . nikaja pata kabinti shamba, nikakatoa bikra mwenyewe na nimekaacha zaidi ya miaka 10.. 😅😅😅 kudekezwaa tuu sasa
 
Ahahahahah.
Mkuu huko shamba hakuna vi bikra vingine nije kufuata kamoja ? 😂😂😂😂😂
 
aisee mie mwenyewe nilipata zari sana, sikuamini mzee yani nafaidi sana maisha ya mahusiano kaka , huyu kama aliandaliwa kuja kuniponya na kila aiana ya makovu na majeraha
 
Ahahahahahahahahaha.
Safi sana chief. Enjoy.
Sasa why alikuzimgua namna hiyo ,vp kuhus madogo?
Kwann anataka kurudi?
 
yeye mjinga, ndio alinipeleka mputa mputa, ile kutengana hata miezi sita haijafika nikaanza pigwa vita na vigisu na kuchafuliwa juu, mala paaa, naitwa baraza la solution mala paaa Mahakamani sinakaa vizuri, pigwa pin hakuna kuona hata watoto malaa paaa.. nilipigwa kama mpira wa konaa.. sasa hivi mie shegaaa naneeepaaaa vizuriii shavu dodo . nikaja pata kabinti shamba, nikakatoa bikra mwenyewe na nimekaacha zaidi ya miaka 10.. 😅😅😅 kudekezwaa tuu sasa
Words i like to hear
 
Ahahahahahahahahaha.
Safi sana chief. Enjoy.
Sasa why alikuzimgua namna hiyo ,vp kuhus madogo?
Kwann anataka kurudi?
Alinizingua kuna mchungaji aliingilia penzi, Watoto nilishapigwa marufuku hata kusogeza pua na wameishapandiwa chuki kuwa nilitaka kumuua mama yao, na walitabiliwa na huyo mchungaji kuwa nawaroga ili wafe.. ila kabinti kananipenda japo kamepandiwa chuki, nilipata story kwa jamaa yangu kuwa kila kakimuona kanalia kweli kaletwa kanione.. inshort watoto kama nime dhulumiwa ila watanitafita tuu .. ndio kuna siku nikawa naona thread ya Dr. gwajima anasema wababa tunatelekeza watoro, nimawa nacheka kwa ground huyo muheshimiwa haelewi jambo
 
Sijamaliza kusoma story yote ila mshaurini jamaa aanze kumeza dawa na kula matunda kwa wingi maana ukimwi hutafuna kuanzia nyayo hadi fuvu
 
Back
Top Bottom