LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
- #21
Mods futa huu uzi hauna picha....umejaa maelezo tu
😁

Huwa sielewi kwann watu huwa personal kwenye masuala ya kawaida kabisa ambayo anaweza akaamua kuachana nayo badala ya ku comment hatrateParasites hii testimony hawatakaa wapende.
#Nazingua😁
kuna siku nilianza kupitia google photo kuachek all my pictures from way back na kuanza kuzilinganisha na picha zangu za toka March. Ndio kama haya sasa 😂View attachment 3447990
Muone Mondi hapo
Kama unapiga nyeto acha mara moja.Wakuu mambo salama!?
kazi ndio Utu hivyo niwapongeze na majukumu yenu mnayoendelea nayo.
Kuna suala ambalo siku ya juzi (jumanne) nimekutana nalo kwa mara ya 5 hivi na nikaamua kulidodosa kimtindo flan then i realized ,it is true.
NIlikua jijini for almost a week kwa shughuli zangu tu kimajukumu. Na katika harakati hizi nikalazimika kufika Bank (crdb tazara branch), ilikua mida ya mchana kama saa 8 hivi.
Kwa utaratibu wangu ki bank ni lazima nikahudumiwe dirishani hivyo nilipoitwa namba yangu nikasogea kuhudumiwa.
Nika submit cheque yangu pamoja na kitambulisha kama utaratibu unavyotaka. Kitambulisho ninachotumia always ni NIDA
Sasa hapa kwenye kitambulisho hapa ndipo ambapo huwa nakutana na kero ya hili suala ambalo ndio limenifanya kuandika huu uzi. Swali hili nimekuaa nikikutana nalo zaid ya mara 4 na hii juz ilikua ya 5 na zote ni katika branch hiz za Crdb kila ninapofika kutoa pesa. Mara ya kwanza kuulizwa swali hili nilifikiri labda ni utani tu mshkaji ananizingua kwakua aliyekua akinihudumia ni mwanaume. Hivyo sikulichukulia serious.
Mara nyingine likajitokeza tena na mara hii lilikua serious kidogo maana kabla sijapewa pesa (nafikiri na figure ilichangia pia), yule muhudumu nilimuona akinyanyua simu akapiga na baada ya muda alipomaliza akani cash out,sikujua anaongea na nani nani lakini ni baada ya kuniuliza swali lile lile ambalo nimekua nikikutana nalo kila nifikapo Crdb. Na nilipotoka mshkaji wangu akani call (mimi na yeye ni signatories kwenye hii akaunti ya kampuni). Akanambia nimepigiwa simu na jamaa wa crdb wakitaka nithibitishe ni wewe unatoa pesa, nikamjibu okay, washanihudumia tayar.
Sasa na hii juzi nikiwa Tazara branch ,yule mrembo akaniuliza tena "MWENYE HII KADI NI WEWE??????"
😂😂😂😂
KWakua sasa swali hili nikawa nimeshalizoea, nikatabasamu na kumjibu kwa upole tu na furaha "Yeah ni mimi dada angu, Mungu amenihurumia kidogo, amenirudisha umri wangu nyuma"
Akajibu akasema "aisee sio kidgo ,mshukuru Mungu, maana you now are so very much young looking na hapa ulikua kama umezeeka sanaaa, hamfanani kabisaaaa".
Nikamwambia "ni kawaida dada angu, si unajua sisi wanaume huwa tunaanza kwanza kuzeeeka kisha tunarudi kuwa vijana??"
Akacheka sana,actually tulitokea kuwa na maongeza very entertaining japo ya muda mfupi yeye akiwa anaendelea na kazi. Kisha akanikabidhi cash. Sikuchukua, nikawa namtazama usoni.
Akauliza "what?"
Nikamjibu "tazama cash counter yako vizuri"
Bas akaishia kusema "ooohh aisee, imekuaje hii mpaka nakuzidishiaa pesa? Au ndio ndio nataka kukuhonga jamani ?"
Nikasema "usijali".
Nikachukua cash yangu nikaondoka.
On the same day nikawa ninageuza zangu mkoa usiku.
Sasa jana nikiwa naongea na sister baada ya kupita home kuwasalimia nikawa nampa hii habari.
Akanambia "sasa wewe unafikiri ulivyo leo mi sawa na ulivyokua before ukiwa na mkeo? Now daya mdogo angu ume regain, afya yako imerudi, umependeza sana, hata huyo mke wako hawez tu kukuambia ukifika kwasalikia wanao, tena natamani sana siku hata hao shemeji zako wakuone jinsi walivyotaka kukuua mtoto wa watu" 😂😂
Akaendelea "basi tu tulikua hatuaemi kwakua tunajua labda ni maisha ila ulikua umechoka umechakaa sana, huvai ukapendeza, yani dogo ume change completelly, ni wewe tu sasa uamua kurudi gerezani au ubaki uraiani" 😂
Nikaona ooohhhohh!! Mwaka sijamaliza na this comes up!??
Anyway, wito wangu kwenu wanaume na wanawake mlioko kwenye ndoa na familia, MSIJI SACRIFICE KUPITILIZA MPAKA MKAJISAHAU KUWA NANYI MNAPASWA KUFAIDIKA NA HUSTTLE ZENU. Take time kujali familia yako lakin kama baba na kama mama pia take time kuji pimp, nunua nguo nzuri, kula vizuri pata muda wa kupumzika ,na sometimes pata muda wa JUST KU DO NOTHING AT ALL. USIWE NA RATIBA SERIOUS ALL THE TIME. sawa tunajua kuna watoto, kuna familia kuna kazi ndio but DONT FORGET YOURSELF.
Actually ni kitu ambacho kwetu wanaume hasa huwa ni kawaida, nguo chache, viatu vichache, yan hatujipi sana kipaumbele but we should change. Hta mimi nimeishi maisha haya miaka almost yote, pair 1 au 2 za viatu, suruali 2 au 3 na u r just fine no shida at all but
Nimekaa jana nikajichunguza ndio nimegundua dooh, now ni kama nime overdo kiukwel, kila upande. Nikajiuliza why? Nikaja gundua now niko much more flexible na pesa yangu. Sijoulizi mara 2 ninunue kipi , kitakachopota mbele yangu na kikanivutia ni nina beba, iwe ni kiatu au nguo. Zamani hii mindset i didnt have at all. I have time to rest. I jave time kujali even ratiba zangu za saloon, kitu ambacho zaman nilikua naona kama ni mambo ya kike kike sana ,na hii mindset nafikiri wanaume wengi tunayo. We better change for good.
As a result am completelly changed, typically. Kuna vitu ambavyo zaman nilikua sijali kabisa, but now being alone nimejikuta nina utaratibu wa tofauti kabisaa. I care about my health hasa mazoezi. Siki hiz mfano ninapo safiri ,siwezi fikia lodge yoyote, lazima niulize "je kuna gym near by?" Cz lazima every ni lift weight every morning and evenning
So jikaja ku conclude kuwa kumbe mabadiliko haya SIO BY CHANCE. BUT BY PURPOSE.
DEAR MEN AND WWOMEN
WE LIVE ONCE, LETS LIVE TO THE FULLEST.
DONT FORGET YOUR FAMILLIES BUT LET YOUR FAMILLIES MAKE YOU FORGET ABOUT YOURSELF.
Dont live just to pass days, live to be happy and inspire .
Good day to you all.
Ahahahahaha..Kama unapiga nyeto acha mara moja.
Wapiga nyeto wengi wapo soft soft na mionekano ya kitoto .
Acha nyeto madhara yake ni makubwa huko mbeleni.
📌📌📌📌MSIJI SACRIFICE KUPITILIZA MPAKA MKAJISAHAU KUWA NANYI MNAPASWA KUFAIDIKA NA HUSTTLE ZENU
Baada ya kuachana na yule mwanamke umekuwa kijana gafla.Wakuu mambo salama!?

Yeah, ni muhimu kukumbushana mamabo madogo madogo kama haya📌📌📌📌
Wakuu mambo salama!?

Yeah sure. Not at all. Wengi huwa nawaambia hii kitu kwqmba mimi naweza nisiwe na hela lakin huwa sion pesa kama ndio tatizo hasa.Money has never been a Problem to men but Peace of mind.
Ndoa ni Madhabu ya migogoro
Ahahahahaha...sasa mkuu kadi ya baba angu ina detaila zangu. 😂.Rudisha kadi ya baba yako acha kuzuga
Sijakusoma chief. Nieleweshe promo ipi kakaBoss naomba ulipitie promo
Aahh sina uhakika sana. Nafikiri ni new life style tu mkuu. Huenda hata tungekua pamoja na nikaamua kuishi hivi huemda matokeo yangekua haya hayaBaada ya kuachana na yule mwanamke umekuwa kijana gafla.
Mmhhh!! Hapana, sijasema hilo, nafikiri ni utaratibubwa maisha niliokua nao then na hui wa sasa ndio una make the difference. Huenda ningekua naishi hiv toka awali, matokeo yangekua haya hayaKwahiyo mke ndio alikuwa anakuzeesha?
100%Yeah sure. Not at all. Wengi huwa nawaambia hii kitu kwqmba mimi naweza nisiwe na hela lakin huwa sion pesa kama ndio tatizo hasa.
Kuna masuala mengine ya muhim zaidi
Mkuu mimi kwa mtazamo wangu kama un mke au Mpenzi yupo kwako kwaajili ya Maslahi yake binafsi lazima Wanaume utachoka na utakua huna nguo na viatu vingi na atakama unavijisenti vya kumudu kununua unakua hujikumbuki, Mwanamke mwenye mapenzi ya kweli hawezi kuvumilia kuona mume wake akivaa nguo moja na viatu mara kwa mara.Wakuu mambo salama!?
kazi ndio Utu hivyo niwapongeze na majukumu yenu mnayoendelea nayo.
Kuna suala ambalo siku ya juzi (jumanne) nimekutana nalo kwa mara ya 5 hivi na nikaamua kulidodosa kimtindo flan then i realized ,it is true.
NIlikua jijini for almost a week kwa shughuli zangu tu kimajukumu. Na katika harakati hizi nikalazimika kufika Bank (crdb tazara branch), ilikua mida ya mchana kama saa 8 hivi.
Kwa utaratibu wangu ki bank ni lazima nikahudumiwe dirishani hivyo nilipoitwa namba yangu nikasogea kuhudumiwa.
Nika submit cheque yangu pamoja na kitambulisha kama utaratibu unavyotaka. Kitambulisho ninachotumia always ni NIDA
Sasa hapa kwenye kitambulisho hapa ndipo ambapo huwa nakutana na kero ya hili suala ambalo ndio limenifanya kuandika huu uzi. Swali hili nimekuaa nikikutana nalo zaid ya mara 4 na hii juz ilikua ya 5 na zote ni katika branch hiz za Crdb kila ninapofika kutoa pesa. Mara ya kwanza kuulizwa swali hili nilifikiri labda ni utani tu mshkaji ananizingua kwakua aliyekua akinihudumia ni mwanaume. Hivyo sikulichukulia serious.
Mara nyingine likajitokeza tena na mara hii lilikua serious kidogo maana kabla sijapewa pesa (nafikiri na figure ilichangia pia), yule muhudumu nilimuona akinyanyua simu akapiga na baada ya muda alipomaliza akani cash out,sikujua anaongea na nani nani lakini ni baada ya kuniuliza swali lile lile ambalo nimekua nikikutana nalo kila nifikapo Crdb. Na nilipotoka mshkaji wangu akani call (mimi na yeye ni signatories kwenye hii akaunti ya kampuni). Akanambia nimepigiwa simu na jamaa wa crdb wakitaka nithibitishe ni wewe unatoa pesa, nikamjibu okay, washanihudumia tayar.
Sasa na hii juzi nikiwa Tazara branch ,yule mrembo akaniuliza tena "MWENYE HII KADI NI WEWE??????"
😂😂😂😂
KWakua sasa swali hili nikawa nimeshalizoea, nikatabasamu na kumjibu kwa upole tu na furaha "Yeah ni mimi dada angu, Mungu amenihurumia kidogo, amenirudisha umri wangu nyuma"
Akajibu akasema "aisee sio kidgo ,mshukuru Mungu, maana you now are so very much young looking na hapa ulikua kama umezeeka sanaaa, hamfanani kabisaaaa".
Nikamwambia "ni kawaida dada angu, si unajua sisi wanaume huwa tunaanza kwanza kuzeeeka kisha tunarudi kuwa vijana??"
Akacheka sana,actually tulitokea kuwa na maongeza very entertaining japo ya muda mfupi yeye akiwa anaendelea na kazi. Kisha akanikabidhi cash. Sikuchukua, nikawa namtazama usoni.
Akauliza "what?"
Nikamjibu "tazama cash counter yako vizuri"
Bas akaishia kusema "ooohh aisee, imekuaje hii mpaka nakuzidishiaa pesa? Au ndio ndio nataka kukuhonga jamani ?"
Nikasema "usijali".
Nikachukua cash yangu nikaondoka.
On the same day nikawa ninageuza zangu mkoa usiku.
Sasa jana nikiwa naongea na sister baada ya kupita home kuwasalimia nikawa nampa hii habari.
Akanambia "sasa wewe unafikiri ulivyo leo mi sawa na ulivyokua before ukiwa na mkeo? Now daya mdogo angu ume regain, afya yako imerudi, umependeza sana, hata huyo mke wako hawez tu kukuambia ukifika kwasalikia wanao, tena natamani sana siku hata hao shemeji zako wakuone jinsi walivyotaka kukuua mtoto wa watu" 😂😂
Akaendelea "basi tu tulikua hatuaemi kwakua tunajua labda ni maisha ila ulikua umechoka umechakaa sana, huvai ukapendeza, yani dogo ume change completelly, ni wewe tu sasa uamua kurudi gerezani au ubaki uraiani" 😂
Nikaona ooohhhohh!! Mwaka sijamaliza na this comes up!??
Anyway, wito wangu kwenu wanaume na wanawake mlioko kwenye ndoa na familia, MSIJI SACRIFICE KUPITILIZA MPAKA MKAJISAHAU KUWA NANYI MNAPASWA KUFAIDIKA NA HUSTTLE ZENU. Take time kujali familia yako lakin kama baba na kama mama pia take time kuji pimp, nunua nguo nzuri, kula vizuri pata muda wa kupumzika ,na sometimes pata muda wa JUST KU DO NOTHING AT ALL. USIWE NA RATIBA SERIOUS ALL THE TIME. sawa tunajua kuna watoto, kuna familia kuna kazi ndio but DONT FORGET YOURSELF.
Actually ni kitu ambacho kwetu wanaume hasa huwa ni kawaida, nguo chache, viatu vichache, yan hatujipi sana kipaumbele but we should change. Hta mimi nimeishi maisha haya miaka almost yote, pair 1 au 2 za viatu, suruali 2 au 3 na u r just fine no shida at all but
Nimekaa jana nikajichunguza ndio nimegundua dooh, now ni kama nime overdo kiukwel, kila upande. Nikajiuliza why? Nikaja gundua now niko much more flexible na pesa yangu. Sijoulizi mara 2 ninunue kipi , kitakachopota mbele yangu na kikanivutia ni nina beba, iwe ni kiatu au nguo. Zamani hii mindset i didnt have at all. I have time to rest. I jave time kujali even ratiba zangu za saloon, kitu ambacho zaman nilikua naona kama ni mambo ya kike kike sana ,na hii mindset nafikiri wanaume wengi tunayo. We better change for good.
As a result am completelly changed, typically. Kuna vitu ambavyo zaman nilikua sijali kabisa, but now being alone nimejikuta nina utaratibu wa tofauti kabisaa. I care about my health hasa mazoezi. Siki hiz mfano ninapo safiri ,siwezi fikia lodge yoyote, lazima niulize "je kuna gym near by?" Cz lazima every ni lift weight every morning and evenning
So jikaja ku conclude kuwa kumbe mabadiliko haya SIO BY CHANCE. BUT BY PURPOSE.
DEAR MEN AND WWOMEN
WE LIVE ONCE, LETS LIVE TO THE FULLEST.
DONT FORGET YOUR FAMILLIES BUT LET YOUR FAMILLIES MAKE YOU FORGET ABOUT YOURSELF.
Dont live just to pass days, live to be happy and inspire .
Good day to you all.
Umenena sahihi mkuu. Huo ni ukweli.Mkuu mimi kwa mtazamo wangu kama un mke au Mpenzi yupo kwako kwaajili ya Maslahi yake binafsi lazima Wanaume utachoka na utakua huna nguo na viatu vingi na atakama unavijisenti vya kumudu kununua unakua hujikumbuki, Mwanamke mwenye mapenzi ya kweli hawezi kuvumilia kuona mume wake akivaa nguo moja na viatu mara kwa mara.