Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

Kama unapiga nyeto acha mara moja.

Wapiga nyeto wengi wapo soft soft na mionekano ya kitoto .

Acha nyeto madhara yake ni makubwa huko mbeleni.
 
Baada ya kuachana na yule mwanamke umekuwa kijana gafla.
 
Rudisha kadi ya baba yako acha kuzuga
 
Mkuu mimi kwa mtazamo wangu kama un mke au Mpenzi yupo kwako kwaajili ya Maslahi yake binafsi lazima Wanaume utachoka na utakua huna nguo na viatu vingi na atakama unavijisenti vya kumudu kununua unakua hujikumbuki, Mwanamke mwenye mapenzi ya kweli hawezi kuvumilia kuona mume wake akivaa nguo moja na viatu mara kwa mara.
 
Umenena sahihi mkuu. Huo ni ukweli.
Vile vile kwa mwanaume. Kama una mapenz ya dhat kwa mkeo, utataman kuona ana appear presentably
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…