EXCUSES TU HIZOKifesi anasema dini take hairuhusu hayo mambo ya mapichapicha
Aliifunga mwenyewe baada ya kuona ameangukia pua. Serikali haikuhusika hapo.Mange ilifungiwa na serikali...
Ameangukia pua sababu App imeblokiwa na serikaliInategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Inategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Askari gani wanalindwa hao watakuwa bata...
Yule aliliwa kiboga halafu akarekodiwa ingia youtube ujionee uhondo[emoji23] [emoji23]Safi kuna mwenzake alikuwa anajiita ngumi jiwe aliwika sana kwa kutajwa na dully sijui kapotelea wapi?
Umeongea jambo la maana sana ndugu, kila jambo hutokea kwa sababu zake. Hivyo vijana tuna wajibu wa kuchukulia matatizo yetu kama fursa ya kuwa imara na kuthubutu kufanya makubwa zaidi. Kwa mfano: kukosa kazi ya kuajiriwa ikupe akili ya kupata mbadala ili usonge mbele, kufukuzwa kazi iwe chachu ya kuepuka utumwa n.kNdio maana Wenye busara hutu asa kuwa tusiwalaumu sana wanaotukwaza ili hali maamuzi yao huenda ndio mwanzo wa hatua zako za kuelekea mafanikio.
Bila kutokea kilichotokea bado angebaki kuwa muajiriwa wa WCB.
Duh!!!!Yule aliliwa kiboga halafu akarekodiwa ingia youtube ujionee uhondo[emoji23] [emoji23]
Ndio alivyosema sio?Ameangukia pua sababu App imeblokiwa na serikali
Namkumbuka NGUMI JIWE, Dully alimuimba sana!Safi kuna mwenzake alikuwa anajiita ngumi jiwe aliwika sana kwa kutajwa na dully sijui kapotelea wapi?
Asingeweza kutoboa.... Wabongo wanapenda dezo! Sio rahisi kuwauzia Ubuyu! Wabongo hata habari za maana hawapendi kutumia nguvu kuzipata! Kumbuka kifo cha KITANGOMA, JARIDA LA YANGA! Angalia hata idadi ya watu wanaobeba magazeti ya BAMAGA, wanazidi kupungua! Kosa lingine Mange alianzisha App afu akaendelea kubaki insta akirusha udaku! Isingewezekana watu wamfate kule App!Mange ilifungiwa na serikali halafu hakuwa serious sana ila akidhamiria itamtoa
Kifesi uwezo wake ni mdogo,bado kivuli cha bosi wake kinamchomaSAFIIIII!
nashangaa kifesi anavokaa kulia lia sijui diamond kanibloki sijui nn !!
ANGEWEZA KUKOMAA NA JINA AKAWA NA FIRM YAKE KWENYE ENEO LA PICHA NA VIDEO PRODUCTION.
NDO JINA KIFESI LINAONDOKA UPANDE WA MAPICHA PICHA!!
Kifesi uwezo wake ni mdogo,bado kivuli cha bosi wake kinamchoma
Waliwahi kukukaba?Wakabaji tu hao
MaskiniWakabaji tu hao