Mwarabu fighter kafungua kampuni yake ya ulinzi

Ndio maana Wenye busara hutu asa kuwa tusiwalaumu sana wanaotukwaza ili hali maamuzi yao huenda ndio mwanzo wa hatua zako za kuelekea mafanikio.

Bila kutokea kilichotokea bado angebaki kuwa muajiriwa wa WCB.
Mkuu kilitokea nini hadi akaondoka wcb
 
Kumbe video hawezi?
 
SAFIIIII!
nashangaa kifesi anavokaa kulia lia sijui diamond kanibloki sijui nn !!

ANGEWEZA KUKOMAA NA JINA AKAWA NA FIRM YAKE KWENYE ENEO LA PICHA NA VIDEO PRODUCTION.

NDO JINA KIFESI LINAONDOKA UPANDE WA MAPICHA PICHA!!
Kifesi ana tabia za kike.

Yupu humu JF.
 
Ngoja nitafute mlinzi wangu binafsi wa kunilinda.. Maana vijana wa jiwe mda wowote wanaweza kuondoka na kichwa cha mtu
 
Aliyewahi kuwa mlinzi wa msanii mkubwa diamond pltinumz amekuja na kitu kipya baada ya kuachana na kazi ya ulinzi katika kundi la WCB na kupata ajali mbaya iliyotaka kusababisha kuondoka na uhai wake.Mwarabu fighter ambae ameamua kuja na idea mpya ya kuanzisha kampuni yake ya ulinzi anasema kuwa inaweza kuwahudumia watu wote ikiwa ni kikundi au mtu mmoja mmoja.

Katika ukurasa wake wa instagram, Mwarabu fighert aliandika “Dear god please , bless the work of my hands.nilikiona kifo lakini ukanipa nafasi nyingine tena.mtanzania mwenzangu , hii ni kazi yangu na vijana wenzangu, nitasema na kufanya kweli daima fitina kwangu ni mwiko.upigie sima kwa mahitaji ya usalama wako binafsi,harusi, matamasha na nyumbani na popote ulipo , unapohitaji usalama.

Mwarabu Fighter hapo awali alikuwa akifanya kazi na Diamond Platinumz lakini kibarua kilikuja na kuota nyasi huku hgakuna aliwahi kutoa sababu ya yeye kuacha kufanya kazi na msani huyo.
 
View attachment 823750
Ni hatua kubwa sana kwake,mara baada ya tetesi nyingi za kufukuzwa WCB.
Bora kaamua kujiajiri,na umaarufu wake utamsaidia kujitangaza sana.

Hongera bro.
Nyie watoto mambo yenu mnapeleka haraka, hebu elezeni vyema...hawa waigiza senema au wanenguaji? Hapo mwarabu ndio yupi, huyu shavu dodo asiyevaa soksi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…