Jamaa ameona fursa kupitia umaarufu wa jina lake. Ni aibu kwa mtu mwenye jina kubwa katika jamii au mwenye umaarufu kuwa masikini. Umaarufu ni utajiri. Mimi nashangaa sana mtu unafahamika na watu zaidi ya laki moja halafu unalia njaa how come? Yaani umekosa kubuni kitu ambacho utakitumia kuchota pesa kwa watu hao laki moja?
Noted mkuuAliyewahi kuwa mlinzi wa msanii mkubwa diamond pltinumz amekuja na kitu kipya baada ya kuachana na kazi ya ulinzi katika kundi la WCB na kupata ajali mbaya iliyotaka kusababisha kuondoka na uhai wake.Mwarabu fighter ambae ameamua kuja na idea mpya ya kuanzisha kampuni yake ya ulinzi anasema kuwa inaweza kuwahudumia watu wote ikiwa ni kikundi au mtu mmoja mmoja.
Katika ukurasa wake wa instagram, Mwarabu fighert aliandika “Dear god please , bless the work of my hands.nilikiona kifo lakini ukanipa nafasi nyingine tena.mtanzania mwenzangu , hii ni kazi yangu na vijana wenzangu, nitasema na kufanya kweli daima fitina kwangu ni mwiko.upigie sima kwa mahitaji ya usalama wako binafsi,harusi, matamasha na nyumbani na popote ulipo , unapohitaji usalama.
Mwarabu Fighter hapo awali alikuwa akifanya kazi na Diamond Platinumz lakini kibarua kilikuja na kuota nyasi huku hgakuna aliwahi kutoa sababu ya yeye kuacha kufanya kazi na msani huyo.
S.D.A church member mwenzangu huyo ndio ninchofahamuEXCUSES TU HIZO
Fursa hiyo kibongo bongo atapata watejaHuyu atapiga pesa,
Kuna jamaa huko state alianza kimchezo mchezo na kampuni ya Blackwater,
Leo hii,vijana wake wanakodiwa na serikali ya marekani,kuwalinda askari wa marekani katika maeneo hatari kama Iraq,afaghnistan,etc.
Na kisha kuwa bilionea mkubwa tu
Unajua jamaa wa black water ni former special forces operator. Yeye mwenyewe ni former seal. Tatizo ni kupata vijana wenye background ya nzuri ya mafunzo ya kijeshi au uwanja vita hapa tz ni ngumu kidogo.Huyu atapiga pesa,
Kuna jamaa huko state alianza kimchezo mchezo na kampuni ya Blackwater,
Leo hii,vijana wake wanakodiwa na serikali ya marekani,kuwalinda askari wa marekani katika maeneo hatari kama Iraq,afaghnistan,etc.
Na kisha kuwa bilionea mkubwa tu
hivi majambazi huwa wanavaa miwani?Hivi kwani lazima wanune na kuvaa miwani myeusi kama majambazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Askari gani wanalindwa hao watakuwa bata...
Kauli za masikini hizi[emoji848]Wakabaji tu hao
hivi majambazi huwa wanavaa miwani?
HahaaaaaaaaaaaaaNyie watoto mambo yenu mnapeleka haraka, hebu elezeni vyema...hawa waigiza senema au wanenguaji? Hapo mwarabu ndio yupi, huyu shavu dodo asiyevaa soksi?
Hivi hawa jamaa huwa wanajua kutumia silaha za moto pia au wanakazana kujaza vifua tu??
Sawa tajiriKauli za masikini hizi[emoji848]
App hata wewe unaweza fungua, kwani inagharimu Nini, tatizo serikali yako ilimletea figisu kupitia TCRA....kwani mange amekosa Nini...Inategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.