JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alikuwa analipwa na akaish maisha ya madeni thats up to him? Daimond anahusikaje tena hapo?
Kwani kasema anahusika?Kama alikuwa analipwa na akaish maisha ya madeni thats up to him? Daimond anahusikaje tena hapo?
Nyigu kasemaje na yy?!Hawa wafanyakazi Diamond anawatoa hafu wakipata majiba wanakengeuka.
Alianza Kifesi, anakaja Huyu kishaLukamba sahivi Nyigu.
Hajakupididi? Nasikia ndio zake
Hapo ameongea kiutu uzima labda hujamuelewa.Kama alikuwa analipwa na akaish maisha ya madeni thats up to him? Daimond anahusikaje tena hapo?
ChaiHapo ameongea kiutu uzima labda hujamuelewa.
Mimi nilichomuelewa ni kwamba kule kwa Diamond kuna maisha ya show off ila pesa inayopatikana ni ndogo ukilinganisha na sasa hivi alivyojitenga na kujianzishia miradi yake binafsi
Chai kutoka kwangu au kwa muhusika mwenyewe?Chai