Mwekezaji inabidi ampe Diamond takriban nusu ya faida ili kutumia jina la WASAFI lasivyo apambane kivyake

Jf waweka na option ya kupin top comments. Umeongea point kubwa sana [emoji23] [emoji120] kongole zako teleee!
 
misukule ya wasafi wanajua Basi?
ukisema ukweli wanaona unamchukia boss wao tajiri
 
misukule ya wasafi wanajua Basi?
ukisema ukweli wanaona unamchukia boss wao tajiri
Mkuu tatizo lipo wapi kwani juu ya hizo kebehi,

Mfano kampuni imeingiza faida ya bilioni 1, Diamond anaweza kupewa asilimia 42 sawa na milioni 420 (wasafi tv na fm anachukua 45%).

Huenda hata zile rolls royce na escallade hajanunua kwa pesa ya muziki, maana deals kama hizi zina mpunga mrefu sana
 
faida anapata yeye hanisaidii kitu.
Ila Kuna misukule yake inaamini kuwa kampuni ni yake [emoji817].hapa ndipo utata unapokuja.
 
Nilikuwa najiuliza muda mrefu "Chawa" ndio watu gani? Lakini wewe umenirahisishia kujuwa kwa usahihi chawa ni mtu wa aina gani.
 
Inategemeana, Jina linabeba goodwill, goodwill ndo wateja. Hata 60% unapewa.
Unapewa hizo asilimia baada ya kutoa gharama za uendeshaji au unapewa zote hizo kwenye net profit?

Na hizo asilimia ni share Katika mtaji au ni za share katika mgawanyo wa faida tu Kwa kuondoa mtaji?
 
Unapewa hizo asilimia baada ya kutoa gharama za uendeshaji au unapewa zote hizo kwenye net profit?

Na hizo asilimia ni share Katika mtaji au ni za share katika mgawanyo wa faida tu Kwa kuondoa mtaji?
Achana na gawio la sehemu ya faida kwa share holders/Eps.
Hapa tunaongelea umiliki wenyewe.
 
Achana na gawio la sehemu ya faida kwa share holders/Eps.
Hapa tunaongelea umiliki wenyewe.
Wewe unaweza kumpa mtu umiliki wa biashara yako Kwa asilimia ngapi Kwa kutumia jina lake tu? Yani ugharamie kila kitu yeye aweke jina tu?
 
Wewe unaweza kumpa mtu umiliki wa biashara yako Kwa asilimia ngapi Kwa kutumia jina lake tu? Yani ugharamie kila kitu yeye aweke jina tu?

Ukiwa na maji yako ukataka kuyauza kwa jina la Azam na maji umefungasha mwenyewe na chupa ni zako unadhani kati ya gharama ulizotumia kufungasha maji yako na jina Azam kipi kina thamani kubwa?
 
Daah namkubali mwamba Nassib kwa kiwango cha juu sana hadi najishangaa wasafi damu kwa chochote. Big up Mond kamua kamua Baba
 
Nashukuru Kwa kuwatoa tongotongo baadhi ya watu wanaozani ni Mali za nasibu lakin si nasibu hata bakhresa nae hufanya hvyo Kwa baadhi ya makampuni yanayoenda Kwa jina lake.
Kwa bakhresa nilikuwa silijui hilo ndio leo nimejua. Ni kampuni yapi ambayo yanatumia jina la bakhresa yakiwa sio yeye mmiliki
 
Ukiwa na maji yako ukataka kuyauza kwa jina la Azam na maji umefungasha mwenyewe na chupa ni zako unadhani kati ya gharama ulizotumia kufungasha maji yako na jina Azam kipi kina thamani kubwa?
Hujaelewa.. Wewe ndio azam kwani?

Nimekuuliza wewe unaweza kumpa mtu asilimia ngapi ya mtaji wako na biashara yako Kwa kutumia jina lake tu?
 
Amari

Huyu jamaa kanifata hadi nyumbani kwanGu kaniambia anataka jibu lake
Kwa mfano wake huo wa Azam yuko off point. Gharama za uendeshaji na mtaji ni kubwa sana chief. Ni uwekezaji mkubwa.

Ukija kwenye kutumia Jina ni Kwa ajili ya mauzo tu. Na kwenye kuuza tuna angalia faida. Na faida inapatikana baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji. Kinachobaki ndio faida. Na kwenye faida ndio mnagawana Sasa Kwa hizo asilimia. Ni nje ya mtaji na uwekezaji.

Umenipata?
 
Nashukuru Kwa kuwatoa tongotongo baadhi ya watu wanaozani ni Mali za nasibu lakin si nasibu hata bakhresa nae hufanya hvyo Kwa baadhi ya makampuni yanayoenda Kwa jina lake.
wanaodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…