Mwekezaji Kutoka Ubelgiji Kujenga Kiwanda Cha Kubangua Korosho Nchini

Si huwa mnasema nchi haiwezi kupata maendeleo kwa kutegemea wawekezaji?

Halafu uko Ubeligiji si ndio hao wanaonuhifadhi mhaini Tundu Lisu, mnakaribisha mabeberu na wanyonyaji?

Kwa nini tusitafute wawekezaji kutoka Rwanda?
 
kwa attitude hii ya kiongozi mkuu, tayari muwekezaji huyo ameshakimbia na namba ya simu amebadili.
 
Si huwa mnasema nchi haiwezi kupata maendeleo kwa kutegemea wawekezaji?

Halafu uko Ubeligiji si ndio hao wanaonuhifadhi mhaini Tundu Lisu, mnakaribisha mabeberu na wanyonyaji?

Kwa nini tusitafute wawekezaji kutoka Rwanda?
akikujibu hii unitag.
 
kwa jinsi jiwe anavyonyanyasa wawekezaji, nina mashaka na hii taarifa?
 
Kama ni taratibu za mwisho mwisho inamaanisha ombi lilikuepo kabla ya leo. Kwanini taarifa tumepewa leo? Kaka yangu anakwambia "Akili kumtwe"
kiwanda walichokua wanategemea kimeonekana hakiwezi kufanya kazi! wanatusahaulisha
 
Uzuri wa chuki ni kuwa mchukiaji ndiye anaumia pale yule anayemchukia anapofanikiwa.
Shetani na mawakala wake wanalia na kusaga meno.
 
Ni habari njema sana kwa Watanzania na wanaoitakia mema Mama Tanzania popote pale walipo.
 
Hao ndiyo lumumba fc
Kweli ukiwa fisiem lazima wakuondoe brain ubaki lifuvu tu nimeamini lazima waku brain wash , kwahiyo sisi Wenye mawazo mbadala hatutaki viwanda vije?
What bullshit is this? Haaa!
 
Nchi hii si nzuri kuwekeza Unless mwekezaji huyo awe anapenda hasara. Sababu wawekezaji wakitajirika wananyanyaswa kwa kutekwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…