warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,466
- 1,260
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani, ni mbaya kwao kama zile za sisi kulipwa pesa za makinikia yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani, ni mbaya kwao kama zile za sisi kulipwa pesa za makinikia yetu.
Si huwa mnasema nchi haiwezi kupata maendeleo kwa kutegemea wawekezaji?Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua Korosho nchini. Nyamanga aliyefanya mazungumzo na gazeti la 'Daily News' amesema Mwekezaji huyo alikuwa katika hatua ya kushughulikia taratibu za mwisho mwisho kabla ya kufungua Kiwanda cha kwanza nchini.
Dailynews
Kweli kabisa. Mwana CCM MwenzanguHabari mbaya sana hizi kwa chadema
akikujibu hii unitag.Si huwa mnasema nchi haiwezi kupata maendeleo kwa kutegemea wawekezaji?
Halafu uko Ubeligiji si ndio hao wanaonuhifadhi mhaini Tundu Lisu, mnakaribisha mabeberu na wanyonyaji?
Kwa nini tusitafute wawekezaji kutoka Rwanda?
kwa jinsi jiwe anavyonyanyasa wawekezaji, nina mashaka na hii taarifa?Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua Korosho nchini. Nyamanga aliyefanya mazungumzo na gazeti la 'Daily News' amesema Mwekezaji huyo alikuwa katika hatua ya kushughulikia taratibu za mwisho mwisho kabla ya kufungua Kiwanda cha kwanza nchini.
Dailynews
kiwanda walichokua wanategemea kimeonekana hakiwezi kufanya kazi! wanatusahaulishaKama ni taratibu za mwisho mwisho inamaanisha ombi lilikuepo kabla ya leo. Kwanini taarifa tumepewa leo? Kaka yangu anakwambia "Akili kumtwe"
Hivi yule mmarekani wa mwakyembe aliyetaka kutatua adha ya usafiri wa Dar anaendeleaje na mipango yake?!Habari mbaya sana hizi kwa chadema
Tusubirie kiwanda cha Dawa,cha simu na cha Magari cha Mr Mengi kwanzaEti kutoka Ubeligiji
Kila siku ni uongo kwenda mbele
HIVI ALIYEKATAA WANUNUZI WALIOKUBALIANA NA WAZIRI MKUU NI MWENYEKITI WA CHADEMA?Habari mbaya sana hizi kwa chadema
Wewe ni mlemavu?
Yaani, ni mbaya kwao kama zile za sisi kulipwa pesa za makinikia yetu.
Zitto pressure juu. 230/ 150Habari mbaya sana hizi kwa chadema
Na yenyewe yatakuwa kwenye hatua za mwisho mwisho kukamilisha ujenzi wao.
Kweli ukiwa fisiem lazima wakuondoe brain ubaki lifuvu tu nimeamini lazima waku brain wash , kwahiyo sisi Wenye mawazo mbadala hatutaki viwanda vije?
What bullshit is this? Haaa!