Mwekezaji Kutoka Ubelgiji Kujenga Kiwanda Cha Kubangua Korosho Nchini

Mwekezaji Kutoka Ubelgiji Kujenga Kiwanda Cha Kubangua Korosho Nchini

Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua Korosho nchini. Nyamanga aliyefanya mazungumzo na gazeti la 'Daily News' amesema Mwekezaji huyo alikuwa katika hatua ya kushughulikia taratibu za mwisho mwisho kabla ya kufungua Kiwanda cha kwanza nchini.

Dailynews
Si huwa mnasema nchi haiwezi kupata maendeleo kwa kutegemea wawekezaji?

Halafu uko Ubeligiji si ndio hao wanaonuhifadhi mhaini Tundu Lisu, mnakaribisha mabeberu na wanyonyaji?

Kwa nini tusitafute wawekezaji kutoka Rwanda?
 
kwa attitude hii ya kiongozi mkuu, tayari muwekezaji huyo ameshakimbia na namba ya simu amebadili.
 
Si huwa mnasema nchi haiwezi kupata maendeleo kwa kutegemea wawekezaji?

Halafu uko Ubeligiji si ndio hao wanaonuhifadhi mhaini Tundu Lisu, mnakaribisha mabeberu na wanyonyaji?

Kwa nini tusitafute wawekezaji kutoka Rwanda?
akikujibu hii unitag.
 
Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua Korosho nchini. Nyamanga aliyefanya mazungumzo na gazeti la 'Daily News' amesema Mwekezaji huyo alikuwa katika hatua ya kushughulikia taratibu za mwisho mwisho kabla ya kufungua Kiwanda cha kwanza nchini.

Dailynews
kwa jinsi jiwe anavyonyanyasa wawekezaji, nina mashaka na hii taarifa?
 
Kama ni taratibu za mwisho mwisho inamaanisha ombi lilikuepo kabla ya leo. Kwanini taarifa tumepewa leo? Kaka yangu anakwambia "Akili kumtwe"
kiwanda walichokua wanategemea kimeonekana hakiwezi kufanya kazi! wanatusahaulisha
 
Uzuri wa chuki ni kuwa mchukiaji ndiye anaumia pale yule anayemchukia anapofanikiwa.
Shetani na mawakala wake wanalia na kusaga meno.
 
Ni habari njema sana kwa Watanzania na wanaoitakia mema Mama Tanzania popote pale walipo.
 
Hao ndiyo lumumba fc
Kweli ukiwa fisiem lazima wakuondoe brain ubaki lifuvu tu nimeamini lazima waku brain wash , kwahiyo sisi Wenye mawazo mbadala hatutaki viwanda vije?
What bullshit is this? Haaa!
 
Nchi hii si nzuri kuwekeza Unless mwekezaji huyo awe anapenda hasara. Sababu wawekezaji wakitajirika wananyanyaswa kwa kutekwa.
 
Back
Top Bottom