Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,759
- 4,872
Nahisi kama tuna bahati mbaya sana ya kupata viongozi wasio na maono (vision). Tumejidai kupima mafanikio ya Rais ktk siku 100.
Huwa haitegemei mambo yanayoonekana ktk siku 100, muhimu huwa ni mpango mkakati wa kufikia malengo fulani.
Je, tumeweza kujua Rais Samia ana malengo gani na nchi hii ktk miaka yake 4?
Binafsi sijasikia lolote, chochote kitakachopimwa baada ya miaka 4.
Sijasikia juu ya Elimu, sijasikia juu ya Afya, Kilimo, Sayansi na technolojia, Uchumi, nk. sioni chochote mbele ya Rais wangu! Sioni vipaumbele vyake.
Je (labda) yeye ni demokrasia tu ambayo ameianza kwa kuachia wafungwa?
Je, ndo ajenda yake pekee? Kama hadi sasa haieleweki, tumeliwa tena!