Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na hatia.
Mimi sijaelewa: huyo sliyekuwa RC wa Simiyu ndiye aliyebambikiwa kesi au nani huyo sasa. Maana kuna fursa ya kukata rufaa, kama kutoridhika na hukumu. Na kuna kesi ambazo kwa hatua ya awali kama hii unakuta X anashinda na Y anashindwa, lakini kwa mahama za juu ushindi unaweza kugeuka kuwa kwa Y. Ili mradi kuna ushahidi unaojitosheleza.Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na hatia.
Kwanni na wewe aliwahi kukufira?Nawanda ni mfiraji shida ni ushahidi wa Tanzania ni wa hovyo kwenye keai ambazo serekali haina maslahi
😃Kwanni na wewe aliwahi kukufira?
Iwapo tu yule binti Tumsime wa chuo albakiza shahawa baada ya kubakwa na zikapimwa DNA ikaonekana ina nasaba na Nawanda ndiyo utakuwa ushahidi wenye nguvu. Hizi zingine ni hadithi za kutunga tu, hakuna Mahakama ya Juu ita zi entetainMimi sijaelewa: huyo sliyekuwa RC wa Simiyu ndiye aliyebambikiwa kesi au nani huyo sasa. Maana kuna fursa ya kukata rufaa, kama kutoridhika na hukumu. Na kuna kesi ambazo kwa hatua ya awali kama hii unakuta X anashinda na Y anashindwa, lakini kwa mahama za juu ushindi unaweza kugeuka kuwa kwa Y. Ili mradi kuna ushahidi unaojitosheleza.
Mwijaku aliwahi kuhusika mara nyingi kwenye kesi za ngono. Kwa nini anahukumu kuwa dkt anabambikiwa?Ana ushahidi wowote?Wakuu.
Mwijaku amwaga Chozi
Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na hatia.
Pia, Soma: Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu
Nimesikiliza taarifa ya habari saa mbili usiku, inaonekana shida haikuwa hiyo, maana mahakama inakubali kwamba ni kweli alilawitiwa. Ila shida ilikuwa "nani aliyemlawiti?" Identification of the culprit, kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi wa habari, ushahidi wake inasemekana haukuunganika vizuri kumtia hatiani mshitakiwa.Iwapo tu yule binti Tumsime wa chuo albakiza shahawa baada ya kubakwa na zikapimwa DNA ikaonekana ina nasaba na Nawanda ndiyo utakuwa ushahidi wenye nguvu. Hizi zingine ni hadithi za kutunga tu, hakuna Mahakama ya Juu ita zi entetain
Acha mabint zenuuu wazidi kulwtw iko siku akili zenu zitakaa sawaVyombo vya habari vimekuwa ni katili sana kwa kuharibu image za watu
Ndy role model wa wabongoMwijaku aliwahi kuhusika mara nyingi kwenye kesi za ngono. Kwa nini anahukumu kuwa dkt anabambikiwa?Ana ushahidi wowote?
Hii beyond reasonable doubt unaipimaje!? Au ni uelewa tu wa hakimu atakavyo reason kwa akili yake mwenyewe!?Not guilty doesn't necessarily mean he is innocent, they just failed to prove beyond reasonable doubt kama ni yeye aliyemlawiti japo ni kweli alilawitiwa ila kalawitiwa na nani? That's a billion dollars question.
Circumstancial evidences pekee hazikutosha kumtia muhuni aliyekuwa mkuu wa mkoa hatiani, ila inaonyesha ile tigo kaila.
Hapana nilipokushuhudia wewe na hili la Mwanza nimethibitisha ila wewe naona umempenda hukutaka apate kesiKwanni na wewe aliwahi kukufira?