Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
......tusubiri karma kwa mwijaku sijui mwajuma na Nawanda......Wakuu.
Mwijaku amwaga Chozi
Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na hatia.
Pia, Soma: Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu
