Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kho kho mhurumie jamaniHahaha hamu itoke wapi wakati wa kukutaja amejificha
Tulikubaliana lakini hatubadili Id ila kama nakujua vile. NimekumissHuyo Huyo aisee. Sijamuona muda mrefu rafiki yangu yule
Alinipeleka kijijini teh tehMimi sijamuona kitambo sana.
Labda sumbai anajua alipo
Wew usimkumbushe machungu atiKumbe uliporwa tonge mdomoni?
Ndio uanaume huo..
Sasa wewe unajua Jr aliniteka kwa ndumba kwa nini hukuniombea?
Where have you been my Queen??? Nilikuwa nakuwaza kila sekundehuhuhuuuuu jaman, uliniita hukutumia zeze bhana ningesikia mapema.
nimekuja bby njoo unambie kile kitu nzuri huwa unaniambiaga.
yaan sikuona hiyo msg jaman kwa simu yangu ningekujaWhere have you been my Queen??? Nilikuwa nakuwaza kila sekunde
Usije fanya visa mi nna wivu / na moyo utauumiza mi nna wivuyaan sikuona hiyo msg jaman kwa simu yangu ningekuja
Nani alikupeleka jijini.Alinipeleka kijijini teh teh
siwez kukufanyia lolote baya honey. be of good cheerUsije fanya visa mi nna wivu / na moyo utauumiza mi nna wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivuuuu......
so let me Looooove youu...siwez kukufanyia lolote baya honey. be of good cheer
Bwana mkubwa sumbaiNani alikupeleka jijini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee,ndiyo maana alikuwa analialia hapa.Bwana mkubwa sumbai
I know the parcee you love me hny. I am waiting for the suprise. I know how strong will be the moment i have it.so let me Looooove youu...
Then I have somethin special for u sweetie