Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Brother naona leo unafurahi sana.ubloood
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother naona leo unafurahi sana.ubloood
Kamwandiko tuu kalinifanya nione huyu ni family bloodHuyu ni old blood kama sio young...
Brother amerudi ,nimemuona muda si mrefu anapita hapa....Ow blood. Muuuuaaahhhhh...
huhuhuuuuuuuuu lovelyHahaha baby.... Jiamini, moyoni mwangu upo pekeako... Upendo unaonipa unanitosha, sihitaji mwingine ever....
Hahaha haaa... watu na sanaa za mviringo... Full kuwaza kuviringishana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hiyo swing ya mbele then nyuma ni balaa
See you then shemHata mimi naona.
Kamwandiko tuu kalinifanya nione huyu ni family blood
Nimemwona ndio kaamka Teh tehBrother amerudi ,nimemuona muda si mrefu anapita hapa....
Kama ww ulivyo na limtani lakoHahaha haaa... watu na sanaa za mviringo... Full kuwaza kuviringishana...
<3huhuhuuuuuuuuu lovely
Ili mradi tu usije kutokomea mazima kwa utamu wa juice ya mpwa. Umeujaza moyo wangu kwa [emoji173]Ile juice mimi niliinywa kwa hisia...
Ladha yake haijanitoka...
Ningefurahi kama utabaki kunicheki kwa miwani ya mbao tena kwa mbaali na usinisemeshe, utanisababishia ban ndgHahaha haaa... watu na sanaa za mviringo... Full kuwaza kuviringishana...
TumebatizwaHalafu kweli sijui imekuwaje? Karibia kila mtu. Au wamepatwa kwa...
Hee!!! are you Old blood?[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Young....
Sijui utaacha lini kudowea vya kaka zako!!Kama ww ulivyo na limtani lako
Hahahaa....babumalovee hayajifichi ujue, na ndo vizuri ili kama una mwingine nijijue tuko wangapi
Sinaga kaka mfupi kama ugali wew[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui utaacha lini kudowea vya kaka zako!!
Yani mimi ndio namgundua hapa baada ya kuona hizi comments. Nimemmiss sana huyu family member...Kamwandiko tuu kalinifanya nione huyu ni family blood
Tena ubatizo wa moto tukatoka kama dhahabuTumebatizwa
Ila tulikubaliana hatubatizwiTumebatizwa
Nafurahi kusikia hivyo shemdarling..usinambie ulikuwa hujanikumbuka[emoji30] [emoji85]Hee!!! are you Old blood?
Oooh.... jamani missing you....
Mithiiiing u jamani..., missing you like crazy..
Mzima wewe? Muaaaaaah.