Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
Chama chenu kimeozaMbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
View attachment 669789
Wa kwanza kuomba radhi ni CCM inatakiwa iwaombe radhi watanzania kwa kuteua Mgombea aliyeshinda na anayetumia fedha vibaya za umma kununua Wabunge, wanachama na viongozi wa vyama vya upinzaniChadema walichagua wagombea wanaonunulika 2015, inatakiwa wawaombe radhi wananchi wa maeneo hayo kwa kuwa walipaswa kuchagua wagombea wasio na tabia hizo
Chadema sio mtu ni Taasisi tofauti na CCM kama anataka kuondoka aende tunamtakia safari njema ila asigeuka nyumaMbunge wa Simanjiro James Ole Millya,kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa. Millya ni miongoni mwa wabunge wa Upinzani wenye ushawishi kanda ya kaskazini kutokana na uzoefu wa siasa za kanda hiyo.
View attachment 669789
Vipi kuhusu ule ushahidi wa Nassari kule Alumeru unauzungumziaje?Eti kununuliwa!
Kama chama wabunge wake wote hao na madiwani wananunuliwa tafsiri ni kwamba ni chama mfu, na wapiga kura wasimchague yeyote toka chama hicho sababu kesho atanunuliwa.
Lakini ukweli wa mambo ni kwamba hakuna anayenunuliwa, ni kutokana na madhaifu ya ndani ya chama na mazuri ya serikali ndo mana wabunge na madiwani wanaamia huko.
Sasa hizo propaganda za kuwadanganya manyumbu hazikubaliki na walio wengi. Nyie badala ya kurekebisha mapungufu yenu mnapiga propaganda za kudanganya, haisaidii.
Endeleeni kudanganyana