Tetesi: Mwendelezo wa Kununua Watumwa: Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya Kuhamia CCM

Tetesi: Mwendelezo wa Kununua Watumwa: Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya Kuhamia CCM

Status
Not open for further replies.
Hawa watakuwa wanaambiwa ama ujiunge ccm au tutakufanyia kama Lissu. Sio bure mambo haya yameanza baada ya mbunge Lissu kushambuliwa. Vyombo vya dola kuwasaidia ccm kama ndio wenye haki pekee Tanzania
 
Sasa hivi wanaitwa watumwa? Aisee hatari sana hii
 
Nyie mambumbumbu ndiyo mnawapa jeuri viongozi wa upinzani matapeli!
Hivi mapungufu yao hamuyaoni? Wanaoondoka wanaeleza wazi chama kilivyo ovyo, lakini mnakaririshwa propaganda za uongo na kuzimeza!

Kama ni demokrasia angalia ndani ya chama chako, kuna demokrasia kweli!.
Kama ni udikteta angalia ndani ya chama chako, hakuna udikteta? Kama ni ufisadi angalia ndani ya chama chako, wako wazi kwenye tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwao?
Hilo neno mbumbumbu litumie kwa wazazi wako....
Nunueni wote, mahesabu tutafanya mwishoni....
Kwa mara ya kwanza NEC inateua wagombea ubunge bila mchakato wowote....ukiambiwa mlizaliwa na utindio wa ubongo mnacharuka!
 
Biashara hii ya kununua watu itabaki historia mbaya zaidi nchini kuliko wakati wa utumwa miaka 1880
 
Katoka kuiba Mali za umma mpaka biashara ya kununua watu kama biadhaa
 
kashaolewa duh ndoa za jinsi moja hazikubaliki!!
 
Hawa watakuwa wanaambiwa ama ujiunge ccm au tutakufanyia kama Lissu. Sio bure mambo haya yameanza baada ya mbunge Lissu kushambuliwa. Vyombo vya dola kuwasaidia ccm kama ndio wenye haki pekee Tanzania
Usikute wakawa wameupata ukweli wa Lissu kupigwa risasi
 
Nafikiri wapinzani watajifunza kutegemea watu wao badala ya makapi toka upande wa pili!

Wahenga walisema:

NGUO YA KUAZIMA HAISTIRI MAKALIO
 
Najaribi kufikiri kama kuna mwanasiasa aliyewahi kuhama kutoka upinzani kwenda ccm akafanikiwa ni wasila pekee ndiye mwenye mafanikio kama yupo mwingine mnisaidie nami nimjue.
 
Hilo neno mbumbumbu litumie kwa wazazi wako....
Nunueni wote, mahesabu tutafanya mwishoni....
Kwa mara ya kwanza NEC inateua wagombea ubunge bila mchakato wowote....ukiambiwa mlizaliwa na utindio wa ubongo mnacharuka!
Mbumbumbu siyo tusi, ni kwa wasiojielewa kama wewe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom