Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote sawa tu,ni majina jibu anaachana na watengeneza mafuriko.Anahamia au anarudi? Huyu hajawahi kuwa DC Moshi?
Eti kununuliwa!
Kama chama wabunge wake wote hao na madiwani wananunuliwa tafsiri ni kwamba ni chama mfu, na wapiga kura wasimchague yeyote toka chama hicho sababu kesho atanunuliwa.
Lakini ukweli wa mambo ni kwamba hakuna anayenunuliwa, ni kutokana na madhaifu ya ndani ya chama na mazuri ya serikali ndo mana wabunge na madiwani wanaamia huko.
Sasa hizo propaganda za kuwadanganya manyumbu hazikubaliki na walio wengi. Nyie badala ya kurekebisha mapungufu yenu mnapiga propaganda za kudanganya, haisaidii.
Endeleeni kudanganyana