St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Hilo neno mbumbumbu litumie kwa wazazi wako....Nyie mambumbumbu ndiyo mnawapa jeuri viongozi wa upinzani matapeli!
Hivi mapungufu yao hamuyaoni? Wanaoondoka wanaeleza wazi chama kilivyo ovyo, lakini mnakaririshwa propaganda za uongo na kuzimeza!
Kama ni demokrasia angalia ndani ya chama chako, kuna demokrasia kweli!.
Kama ni udikteta angalia ndani ya chama chako, hakuna udikteta? Kama ni ufisadi angalia ndani ya chama chako, wako wazi kwenye tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwao?
Usikute wakawa wameupata ukweli wa Lissu kupigwa risasiHawa watakuwa wanaambiwa ama ujiunge ccm au tutakufanyia kama Lissu. Sio bure mambo haya yameanza baada ya mbunge Lissu kushambuliwa. Vyombo vya dola kuwasaidia ccm kama ndio wenye haki pekee Tanzania
Watu wanakubali matendo ya Magu, au na wapiga kura nao utasema wananunuliwa?Ukweli wa mambo hamuwanunui??? Uongo tabia yake ni mhusika kuwa na maneno mingiiiiiii!!!!!!
Wananunuliwa wewe unadhami ile ruzuku 300 mil inaenda wapi???Nnajifariji hivi wanaohama CCM nao huwa wananunuliwa?
Hivi CHADEMA na Magu nani ni mtu wa maneno mingiiiiiii? Basi utakuwa ushamjua muongo!Ukweli wa mambo hamuwanunui??? Uongo tabia yake ni mhusika kuwa na maneno mingiiiiiii!!!!!!
Mbumbumbu siyo tusi, ni kwa wasiojielewa kama wewe!Hilo neno mbumbumbu litumie kwa wazazi wako....
Nunueni wote, mahesabu tutafanya mwishoni....
Kwa mara ya kwanza NEC inateua wagombea ubunge bila mchakato wowote....ukiambiwa mlizaliwa na utindio wa ubongo mnacharuka!