Tetesi: Mwendelezo wa Kununua Watumwa: Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya Kuhamia CCM

Status
Not open for further replies.
Vijana wa Edo wanarudi walipotoka ...
 
Kuna siku watu wataogopa kuhama kwa style hii kwa hii mipango tunayopanga...Hili haliepukiki hivyo watanzania mtusamehe. Tuna haki ya kutoa fundisho na tutalitoa! Hawa waliohama wameonyeshwa nchi ya ahadi ila hawatafika huko.

James hatahama Chadema maana tuna taarifa zake!
 
Hii biashara ya utumwa mpaka ln.....mkoloni ccm jataki kuondoka madarakani kwa amani.
Alafu ccm nn hawajafanya kwa miaka 50 wanataka kuendelea kutawa kihunihuni?
 

Uwe wakati mwingine unashirikisha Ubongo sio makalio tu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…