Kwisha habari yako๐Punguani ni yule aliyetunguliwa Kwenye helicopter ya mwaka 1971 ๐๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐
Ebrahim Raisi angekodi Chopa za akina Raila hapo Nairobi ๐
Made in USA 1971 ๐ผ
Made in USA 1971 ๐๐๐ฅKwisha habari yako๐
๐ฎ๐ช๐ณ๐ด๐ช๐ธ๐ต๐ธ๐จโผ๏ธ BOMBSHELL: "Leo, Ireland, Norway na Uhispania zinatangaza kwamba tunatambua hali ya Palestina."
Waziri Mkuu wa Ireland Simon Harris anasema hii ni โsiku ya kihistoria kwa Palestinaโ
-> USHINDI MKUBWA WA PALESTINA! WOW
Inatokea!
View: https://x.com/mylordbebo/status/1793184183365308561?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ulaya sasa yote wanajinga na HamasEbrahim Raisi angekodi Chopa za akina Raila hapo Nairobi ๐
Made in USA 1971 ๐ผ
Hivi chanzo cha Israel kuipiga Gaza ni tukio la Hamas la October 7? Miaka yote Israel imekuwa ikifanya mauji sio Gaza tu ata ukingo wa magharibi kila siku Israel inafanya mauaji.Mafuasi ya allah shetani bhana leo mahakama ya makafiri imekuwa bora sn mpk mnaianzshia thread kila dk ksa netanyahu eeh, vp wale viongoz wa hamas waliochanzo cha israel kuvamia gaza? allah ndiye shetani.
Jagina unajifunzia Matusi JFEbrahim Raisi anahusika nini hapa na huu uzi ?? umechanganyikiwa shoga
Made in USA 1971 Hata babako rais mstaafu asingepanda!Shaga limevurugwa๐๐
Chalinze mnajiunga lini? ๐ผUlaya sasa yote wanajinga na Hamas
View: https://x.com/warfareanalysis/status/1792917066573300192?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Jagina unajifunzia Matusi JF
Bure kabisa ๐ผ
Wewe shabiki mandazi punguani hauna unachokijua wasome mabwana zako mavi yanagonga boxer.Chalinze mnajiunga lini? ๐ผ
Made in USA 1971 Hata babako rais mstaafu asingepanda!
Wanazidi kutishia ushuzi ilhali wanaharisha.Nimeagiza kurudishwa nyumbani mara moja kwa mabalozi wa Israel nchini Ireland na Norway kwa mashauriano kwa kuzingatia maamuzi ya nchi hizi kutambua taifa la Palestina.
Ninatuma ujumbe ulio wazi na usio na shaka kwa Ireland na Norway: Israeli haitakaa kimya mbele ya wale wanaohujumu uhuru wake na kuhatarisha usalama wake.
Uamuzi wa leo unatuma ujumbe kwa Wapalestina na ulimwengu: Ugaidi unalipa. Baada ya shirika la kigaidi la Hamas kutekeleza mauaji makubwa zaidi ya Wayahudi tangu mauaji ya Holocaust, baada ya kufanya uhalifu mbaya wa kingono unaoshuhudiwa na ulimwengu, nchi hizi zilichagua kuwazawadia Hamas na Iran kwa kulitambua taifa la Palestina.
Hatua hii potofu ya nchi hizi ni dhuluma kwa kumbukumbu ya wahasiriwa wa 7/10, pigo kwa juhudi za kuwarudisha mateka 128, na kuongezwa kwa Hamas na wanajihadi wa Iran, ambayo inadhoofisha fursa ya amani na kuhoji haki ya Israeli kujilinda.
Israeli haitakaa kimya - kutakuwa na matokeo mabaya zaidi. Ikiwa Uhispania itafuata nia yake ya kulitambua taifa la Palestina, hatua sawa na hiyo itachukuliwa dhidi yake.
Upumbavu wa Ireland-Kinorwe hautuzuii; tumedhamiria kufikia malengo yetu: kurejesha usalama kwa raia wetu, kubomoa Hamas, na kuwarudisha mateka nyumbani. Hakuna sababu zaidi ya hizi.
View: https://x.com/israel_katz/status/1793174400151249194?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ajabu kabisa wamezoea kudekezwa na Marekani na Uingereza naona nchi za Ulaya zimechoka na huo upuuzi.Wanazidi kutishia ushuzi ilhali wanaharisha.
Aisee!
Mbona walifanya hivyo kwa Brazil na Brazil ikafunga balozi ya Israel mazima!?
Ndio watawatisha ireland na Norway??
Ireland taifa linalotambulika linaongoza kwa amani ulimwenguni!?
Mchezo aliochezewa rais wa Iran umemtia hofu.Sasa kama ni muoga alikuwa na kiherehere Cha nini?
Mie kuna siku nilisema humu ndani,kwa anachofanya USA na UK kuiunga mkono Israel ni hatari kidiplomasia kwa USA na UK wenyewe pamoja na Israel.Ajabu kabisa wamezoea kudekezwa na Marekani na Uingereza naona nchi za Ulaya zimechoka na huo upuuzi.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1792993512679526501?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Huyu Mpakistani anafanya Soft Jihaad.
Wewe Mbunge una matusi sanaWewe shabiki mandazi punguani hauna unachokijua wasome mabwana zako mavi yanagonga boxer.
BREAKING:
๐บ๐ฒ๐ฎ๐ฑ Lindsey Graham anahofia kwamba baada ya hati ya kukamatwa kwa Netanyahu, ndiye anayefuata:
"Ikiwa watafanya hivi kwa Israeli, sisi tunafuata."
Anataka kusema kwamba baada ya Israel, wahalifu wa kivita nchini Marekani kama yeye aliyehusika na mamilioni ya wahasiriwa katika miaka 20 iliyopita wanaweza kufunguliwa mashtaka pia.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1793025700380700675?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Miraj anakuzoom tu mh ๐ผ