Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Punguani ni yule aliyetunguliwa Kwenye helicopter ya mwaka 1971 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐ŸŒŸ
Kwisha habari yako๐Ÿ˜€

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ๐Ÿšจโ€ผ๏ธ BOMBSHELL: "Leo, Ireland, Norway na Uhispania zinatangaza kwamba tunatambua hali ya Palestina."

Waziri Mkuu wa Ireland Simon Harris anasema hii ni โ€œsiku ya kihistoria kwa Palestinaโ€

-> USHINDI MKUBWA WA PALESTINA! WOW

Inatokea!

View: https://x.com/mylordbebo/status/1793184183365308561?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Made in USA 1971 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
 
Mafuasi ya allah shetani bhana leo mahakama ya makafiri imekuwa bora sn mpk mnaianzshia thread kila dk ksa netanyahu eeh, vp wale viongoz wa hamas waliochanzo cha israel kuvamia gaza? allah ndiye shetani.
Hivi chanzo cha Israel kuipiga Gaza ni tukio la Hamas la October 7? Miaka yote Israel imekuwa ikifanya mauji sio Gaza tu ata ukingo wa magharibi kila siku Israel inafanya mauaji.

Hii chini hapa Israel anachofanya huko Western Bank, vipi huku nako wamemfanya nn?

Hamas yenyewe mpaka inaanzishwa ilikuta kuna mauaji kibao yanafanya na Israel.
Screenshot_2024-05-22-11-27-40-52_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Chalinze mnajiunga lini? ๐Ÿผ
Wewe shabiki mandazi punguani hauna unachokijua wasome mabwana zako mavi yanagonga boxer.

BREAKING:

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Lindsey Graham anahofia kwamba baada ya hati ya kukamatwa kwa Netanyahu, ndiye anayefuata:

"Ikiwa watafanya hivi kwa Israeli, sisi tunafuata."

Anataka kusema kwamba baada ya Israel, wahalifu wa kivita nchini Marekani kama yeye aliyehusika na mamilioni ya wahasiriwa katika miaka 20 iliyopita wanaweza kufunguliwa mashtaka pia.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1793025700380700675?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Nimeagiza kurudishwa nyumbani mara moja kwa mabalozi wa Israel nchini Ireland na Norway kwa mashauriano kwa kuzingatia maamuzi ya nchi hizi kutambua taifa la Palestina.

Ninatuma ujumbe ulio wazi na usio na shaka kwa Ireland na Norway: Israeli haitakaa kimya mbele ya wale wanaohujumu uhuru wake na kuhatarisha usalama wake.

Uamuzi wa leo unatuma ujumbe kwa Wapalestina na ulimwengu: Ugaidi unalipa. Baada ya shirika la kigaidi la Hamas kutekeleza mauaji makubwa zaidi ya Wayahudi tangu mauaji ya Holocaust, baada ya kufanya uhalifu mbaya wa kingono unaoshuhudiwa na ulimwengu, nchi hizi zilichagua kuwazawadia Hamas na Iran kwa kulitambua taifa la Palestina.

Hatua hii potofu ya nchi hizi ni dhuluma kwa kumbukumbu ya wahasiriwa wa 7/10, pigo kwa juhudi za kuwarudisha mateka 128, na kuongezwa kwa Hamas na wanajihadi wa Iran, ambayo inadhoofisha fursa ya amani na kuhoji haki ya Israeli kujilinda.

Israeli haitakaa kimya - kutakuwa na matokeo mabaya zaidi. Ikiwa Uhispania itafuata nia yake ya kulitambua taifa la Palestina, hatua sawa na hiyo itachukuliwa dhidi yake.

Upumbavu wa Ireland-Kinorwe hautuzuii; tumedhamiria kufikia malengo yetu: kurejesha usalama kwa raia wetu, kubomoa Hamas, na kuwarudisha mateka nyumbani. Hakuna sababu zaidi ya hizi.

View: https://x.com/israel_katz/status/1793174400151249194?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wanazidi kutishia ushuzi ilhali wanaharisha.
Aisee!
Mbona walifanya hivyo kwa Brazil na Brazil ikafunga balozi ya Israel mazima!?
Ndio watawatisha ireland na Norway??
Ireland taifa linalotambulika linaongoza kwa amani ulimwenguni!?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wewe shabiki mandazi punguani hauna unachokijua wasome mabwana zako mavi yanagonga boxer.

BREAKING:

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ Lindsey Graham anahofia kwamba baada ya hati ya kukamatwa kwa Netanyahu, ndiye anayefuata:

"Ikiwa watafanya hivi kwa Israeli, sisi tunafuata."

Anataka kusema kwamba baada ya Israel, wahalifu wa kivita nchini Marekani kama yeye aliyehusika na mamilioni ya wahasiriwa katika miaka 20 iliyopita wanaweza kufunguliwa mashtaka pia.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1793025700380700675?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wewe Mbunge una matusi sana

Au ni Ritz 1 wa Mchongo unatembelea nyota๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
 
Back
Top Bottom