Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Hasira za nini wewe mgalatia? Je unaweza tueleza kidogo hayo yote ulioandika yana uhusiano gani na topic iliyopo?
kwan ni nan anaepinga ilimu dunia ? mfumo huo upo ndan ya matokeo ya ilimu dunia
 
Nlipoona hilo jina kuwa Lina uhusiano na kina mud nikajua tu ni propaganda nyepesi na za kitoto
 
Nlipoona hilo jina kuwa Lina uhusiano na kina mud nikajua tu ni propaganda nyepesi na za kitoto
Hujui lolote wewe Majaji ndiyo wameamua yeye ni muendesha mashtaka mkuu siyo maamuzi yako hivi nyie walokole nani kawaroga mna chuki kali sana dhini ya Uislam.

Norway, Spain, Republic of Ireland nayo ni Waislam wanalitambua taifa la Palestina wewe Yahudi jeusi bakia na ushabiki Mandazi.
 
Kwa hyo Jaji kaamua kuja na miemko yake kutia tia huruma ili Dunia ijua kwamba anaoneawa?....Netanyau endelea kuwabana hizo mbupu mpka wakome kwa nini waliivamia Israel...washaelemewa huku mpka wanaomba msaada kwa wanaowaita makafiri
 
Jaji yupi? Wewe hata hujui unachokitetea.

Muendsha Mashtaka Mkuu yeye anasoma ripoti za majaji wa ICJ siyo fikra zake.

Kaambiwa hii mahakama imeundwa kwa ajili ya Wafrica nyie mlivyokuwa mapungani hamtaki
Kuamini.

Muhimu Netanyahu kawekwa
Kundi moja na kina

Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu,
Jean-Jacques Mangenda Kabongo,
Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,
 
Kwa hyo Jaji kaamua kuja na miemko yake kutia tia huruma ili Dunia ijua kwamba anaoneawa?....Netanyau endelea kuwabana hizo mbupu mpka wakome kwa nini waliivamia Israel...washaelemewa huku mpka wanaomba msaada kwa wanaowaita makafiri
Your browser is not able to display this video.
 
🚨BREAKING: TAMKO LA HAMAS - ASANTE NORWAY, IRELAND NA HISPANIA.

“Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

Sisi, katika Harakati ya Upinzani wa Kiislamu (Hamas), tunakaribisha tangazo la Norway, Ireland, na Uhispania kutambua Jimbo la Palestina. Tunaiona kuwa ni hatua muhimu ya kuthibitisha haki yetu ya ardhi yetu na kuanzisha taifa letu huru la Palestina na Al-Quds kama mji mkuu wake. Tunatoa wito kwa nchi duniani kote kutambua haki zetu halali za kitaifa, kuunga mkono mapambano ya watu wetu wa Palestina kwa ajili ya ukombozi na uhuru, na kukomesha uvamizi wa Wazayuni wa ardhi yetu.

Harakati ya Upinzani wa Kiislamu - Hamas
Jumatano: 14 Dhu al-Qi'dah 1445 AH
Sambamba na: 22 Mei 2024 AD”

View: https://x.com/suppressednws/status/1793219053017788902?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Sasa kwa akili zako za madrasa ukaamini kwamba kweli ametishwa?ilishindikana nini mhusika kutajwa ili nae achukuliwe hatua?
 
Sorry for your loss
 
Another rubbish for the trash can.
Tulia dawa iingie kaza kiuno.
Israel baada ya kutambuliwa kwa taifa la Palestina na Ireland, Uhispania na Norway.

Israel FM Katz: Yawakumbuka Mabalozi

Waziri wa Fedha wa Israel Smotrich: Anazuia mapato ya kodi ya Wapalestina na anajizuia kuyahamishia kwenye PA

Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel Ben Gvir: Storms Al-Aqsa msikiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…