Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Huu ni uzushi.
Mijadala ya kupitisha wakati na kufurahisha genge.
Mijadala ya kupitisha wakati na kufurahisha genge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amtaje aharibu upelelezAlitakiwa amtaje jina huyo kiongozi.
kwan ni nan anaepinga ilimu dunia ? mfumo huo upo ndan ya matokeo ya ilimu duniaHasira za nini wewe mgalatia? Je unaweza tueleza kidogo hayo yote ulioandika yana uhusiano gani na topic iliyopo?
Hujui lolote wewe Majaji ndiyo wameamua yeye ni muendesha mashtaka mkuu siyo maamuzi yako hivi nyie walokole nani kawaroga mna chuki kali sana dhini ya Uislam.Nlipoona hilo jina kuwa Lina uhusiano na kina mud nikajua tu ni propaganda nyepesi na za kitoto
Kwa hyo Jaji kaamua kuja na miemko yake kutia tia huruma ili Dunia ijua kwamba anaoneawa?....Netanyau endelea kuwabana hizo mbupu mpka wakome kwa nini waliivamia Israel...washaelemewa huku mpka wanaomba msaada kwa wanaowaita makafiriHujui lolote wewe Majaji ndiyo wameamua yeye ni muendesha mashtaka mkuu siyo maamuzi yako hivi nyie walokole nani kawaroga mna chuki kali sana dhini ya Uislam.
Norway, Spain, Republic of Ireland nayo ni Waislam wanalitambua taifa la Palestina wewe Yahudi jeusi bakia na ushabiki Mandazi.
Jaji yupi? Wewe hata hujui unachokitetea.Kwa hyo Jaji kaamua kuja na miemko yake kutia tia huruma ili Dunia ijua kwamba anaoneawa?....Netanyau endelea kuwabana hizo mbupu mpka wakome kwa nini waliivamia Israel...washaelemewa huku mpka wanaomba msaada kwa wanaowaita makafiri
Kwa hyo Jaji kaamua kuja na miemko yake kutia tia huruma ili Dunia ijua kwamba anaoneawa?....Netanyau endelea kuwabana hizo mbupu mpka wakome kwa nini waliivamia Israel...washaelemewa huku mpka wanaomba msaada kwa wanaowaita makafiri
Sasa kwa akili zako za madrasa ukaamini kwamba kweli ametishwa?ilishindikana nini mhusika kutajwa ili nae achukuliwe hatua?Jaji yupi? Wewe hata hujui unachokitetea.
Muendsha Mashtaka Mkuu yeye anasoma ripoti za majaji wa ICJ siyo fikra zake.
Kaambiwa hii mahakama imeundwa kwa ajili ya Wafrica nyie mlivyokuwa mapungani hamtaki
Kuamini.
Muhimu Netanyahu kawekwa
Kundi moja na kina
Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu,
Jean-Jacques Mangenda Kabongo,
Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,
Wanaukumbi.
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake.
Marekani na nchi za Ulaya unafiki wao umeishafahamika Israel wanafanya mauaji ya kimbari duniani yote inaona hawataki Netanyahu na wenzake wao kundi moja na kina
Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu, Jean-Jacques Mangenda Kabongo, Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,
View: https://x.com/suppressednws/status/1792738821043274090?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wewe punguani Muisrael mweusi hauna unajua zaidi ya ushabiki mandazi toka lini mlokole akawa na akili nzuri.Sasa kwa akili zako za madrasa ukaamini kwamba kweli ametishwa?ilishindikana nini mhusika kutajwa ili nae achukuliwe hatua?
Tulia dawa iingie kaza kiuno.Another rubbish for the trash can.
Naona ana chukia nao Sana,akiwatusi husuuzika nafasi yakeKaka hatuna hiyo michezo bwana
Wewe punguani Muisrael mweusi hauna unajua zaidi ya ushabiki mandazi toka lini mlokole akawa na akili nzuri.
Ulaya yote sasa hivi wanajiunga na Hamas.
View: https://x.com/globeeyenews/status/1792841477900603695?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw