Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Sometime ukiangalia anachopigania mwarabu ama muislamu ni haki na usawa Iko kwa Hawa jamaa , so Kila kitu Wana control. Am sure islam don't entertain capitalism, oppression Ila nakosa na Imani na wao walivyotuuza na wazungu wametuibia mno madini yetu na kutuuua mno nadhani kuliko waarabu. So sidhani Kama Kuna mwema. USA watu wanalala out aka homeless ni wengi mno ana uwezo wa kujenga maghorofa like hostel akawaweka Ila utasikia Kuna $96b zimepitishwa kusaidia Ukraine.
Na hizo hela anabidi amuuzie silaha so anabakia kumdai deni la hizo hela.
So na hapo anapigia Bei ya juu mno silaha na anauza kwa lazima mno apende asipende yaani msaada huwa ni mkopo wa kuuza silaha zao. Yaani bana Hawa viongozi Wana uwezo wa kurudisha suala nyuma kwa wananchi wao wakaamua kuwa kifanyike nini Ila wanakomaaje.
 
God bless Ireland, Spain, and Norway for recognizing Palestinian statehood today!

STOP THE GENOCIDE

🇮🇪🇪🇸🇳🇴🇵🇸
 
Ngoja huyu JAJI wa ICC ajichanganye aende England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 au USA 🇺🇸. Yatamkuta tuuu. Israel 🇮🇱 na wazungu lao moja
Ufahamu lolote kwa akili yako ya kilokole unadhani maamuzi
Hayo kayatoa yeye 😀
 
A
Wanaukumbi.

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake.

Marekani na nchi za Ulaya unafiki wao umeishafahamika Israel wanafanya mauaji ya kimbari duniani yote inaona hawataki Netanyahu na wenzake wao kundi moja na kina

Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu, Jean-Jacques Mangenda Kabongo, Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,

View: https://x.com/suppressednws/status/1792738821043274090?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Afrika kusini ilikuwa na sababu ya kutomkamata Omary Bashiru. Maana iliwaambia ICC kuwa haiwezi kumkamata Bashiru bila Bush na Blair kwanza kuwekwa ndani wakajibu kesi ya kuua watu wasiokua na hatia huko Iraq.

Kwa sasa Marekani na washirika wake washaanza kuzarauliwa kidogo kidogo kutokana na unafiki wao.
 
Marekani atabakia na Uingereza tu naona Ulaya wameishawachoka Waisrael Norway, Ireland na Spain wamefungua njia wanalitambua Taifa la Palestina na wanaunga mkono mahakama ya ICC.
 
I'm
Kwa unavyojitahid ubisha kwa malipo ya kondoo mnaoletewa kwa msaada ili muwazid wagalatia...mnaendelea kupoteana tu..
Leo umepewa vichwa vingap vya kondoo kwa msaada mnaopewa na hao wanaowashikisha ukuta...badala wawape elimiu wameamua kuwapa msaada wa nyama ya kondoo kila ijumaa cz wameona akili zenu ka za kondoo tu
 
Ona huyu msenge anaongea nini!
Hapa yanajadiliwa masuala ya kidiplomasia sio ya kidini.
Jaribu kukua wewe mla kwa dada mlala kwa shemeji.
Unawajibu walokole wa tanznaia ni kama kichwan wanamatope wakiomba hata tigo na mwisraeli ili wabarikiwe watatoa tu
 
Marekani atabakia na Uingereza tu naona Ulaya wameishawachoka Waisrael Norway, Ireland na Spain wamefungua njia wanalitambua Taifa la Palestina na wanaunga mkono mahakama ya ICC.
Wishful thinking.
 
Wenye akili tunalijua hili tangu zama za kale,
Wanaukumbi.

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake.

Marekani na nchi za Ulaya unafiki wao umeishafahamika Israel wanafanya mauaji ya kimbari duniani yote inaona hawataki Netanyahu na wenzake wao kundi moja na kina

Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu, Jean-Jacques Mangenda Kabongo, Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,

View: https://x.com/suppressednws/status/1792738821043274090?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wenye akili tunalijua hili tangu zama za kale, ICC/ICJ, haiwezi kuwakamata viongozi, wa Israel, Japan, Taiwan, Nchi za, Scandinavia, Ulaya, sehwmu yoyote k wenye mshirika wa US, ambaye ni mzungu Anglo Saxon, IPO kukimbiza mburu kenge wa Afrika, uarwbuni, nk
 
Back
Top Bottom