Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

Wenye akili tunalijua hili tangu zama za kale,

Wenye akili tunalijua hili tangu zama za kale, ICC/ICJ, haiwezi kuwakamata viongozi, wa Israel, Japan, Taiwan, Nchi za, Scandinavia, Ulaya, sehwmu yoyote k wenye mshirika wa US, ambaye ni mzungu Anglo Saxon, IPO kukimbiza mburu kenge wa Afrika, uarwbuni, nk
Yaani wewe unajisifia una akili daah labda za kwenda chuoni.

Hujui chochote kuhusu hizo mahakama nchi zote ambazo ni wanachama wakitia mguu wanakamatwa Norway na Spain wameweka wazi akija kwao wanawakatama.

Muhimu Netanyahu sasa hivi yupo kundi moja na kina
Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu,
Jean-Jacques Mangenda Kabongo,
Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,

View: https://x.com/suppressednws/status/1793467499151073752?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ni ukweli kabisa. Hamas wachokoze, wakipigwaiwe noma
Mayqahudi yamechanganyikiwa
Huku Palestine inatambuliwa rasmi Duniani
Na Kule Bibi anatafutwa kwa jinai na unyama dhidi ya ubinadamu.
Huku France na Wengine wakisema watamkamata hati ikitolewa.
 

Attachments

  • IMG_4598.jpeg
    IMG_4598.jpeg
    640.4 KB · Views: 2
Katika mahojiano na CNN alisema alipokuwa akifanya uchunguzi wa kuanzisha kesi dhidi ya Netanyahu, kuna kiongozi alimwendea na kumwambia waziwazi; "mahakama hii imeundwa kwa ajili ya Afrika na majambazi kama Putin," Khan alidai rais, ambaye hakufichua utambulisho wake, ndiye alisema hayo.
1716829747699.png

---​
The International Criminal Court’s (ICC) prosecutor said he received threats while conducting investigations against top Israeli officials with a senior figure telling him the court was "built for Africa and for thugs like Putin," and not for the West and its allies.

In an interview with CNN, Karim Khan said: "I've had some elected leaders speak to me and they were very blunt. 'This court is built for Africa and for thugs like Putin,' was what one senior leader told me."

"We don't do it like that," he said, adding: "This court should be the triumph of law, over power and brute force: grab what you can take what you want, do what you will."

The ICC is seeking arrest warrants for Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defense Minister Yoav Gallant along with Hamas leaders Yahya Sinwar, Ismail Haniyeh and Mohamed Deif.

The charges against Netanyahu and Gallant include "causing extermination, using starvation as a method of war by denying humanitarian relief supplies, and deliberately targeting civilians in conflict," he added.

The charges against Sinwar, Haniyeh, and Deif include “extermination, murder, taking of hostages, rape, and sexual assault in detention," Khan told CNN

“Nobody is above the law,” he said.

He suggested that if Israel disagrees with the ICC, "they are free to challenge the jurisdiction before the court judges, and that's my advice to them."

Israel has continued its brutal offensive on the Gaza Strip despite a UN Security Council resolution demanding an immediate cease-fire in the enclave.

More than 35,500 Palestinians have since been killed, the vast majority of whom have been women and children, and over 79,600 others injured since last October following a cross-border attack by the Palestinian group Hamas. The Hamas attack left nearly 1,200 killed and hundreds others were taken hostage.

More than seven months into the Israeli war, vast swathes of Gaza lay in ruins amid a crippling blockade of food, clean water and medicine.

Israel stands accused of genocide at the International Court of Justice (ICJ), which has ordered it to ensure that its forces do not commit acts of genocide and take measures to guarantee that humanitarian assistance is provided to civilians in Gaza.
 
Na ili kuthibitisha alichoambiwa ajiulize, ni Mwendesha Mashtaka gani aliishawahi kutoka nchi zenye nguvu duniani? Je, ndani ya kipindi chake ataweza kumkamata Netanyahu?
 
Iko very clear, mahakama ya ICC ni backup plan ya USA na UE, ya kulipà visasi au kupata kile wanachotaka

Either in good or worse maslahi yao kwanza, inshort they don't giv a fuvk kuhusu human rights nje ya circle yao, rejea pale Syria...
 
USA ni moja ya nchi iliyoanzisha hiyo mahakama lkn wenyewe hawapo kwenye huo upuuzi, yn kwamba huwezi kuishitaki USA kwenye hiyo mahakama
 
Afrika jitoeni kwenye hayo mashirika ya mabeberu nyie ni watengwa tu
 
HAWANA huo ubavu, viongozi wenyewe hawajitambui Kila cku kupishana ulaya. Kwrmenda kuomba misaada
 
"
HAWANA huo ubavu, viongozi wenyewe hawajitambui Kila cku kupishana ulaya. Kwrmenda kuomba misaada
"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
"

"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Hapa nazi imekolea na ndivyo wanavyotaka.
Sisi tulikua na mifumo yetu ya kujitawala kabla ya uvamizi mkwawa,mangi,abushiri n.k n wazungu?
 
Hapa nazi imekolea na ndivyo wanavyotaka.
Sisi tulikua na mifumo yetu ya kujitawala kabla ya uvamizi mkwawa,mangi,abushiri n.k n wazungu?
Kweli kabisa tulikuwa na mifumo tayari, bahati mbaya uvamizi wao ndiyo ulituvuruga sisi, walisambaratisha na familia nyingi zenye utaratibu wa maisha ya kila siku na kuingiza mambo yao kwenye jamii zetu ili iwe rahisi kututawala na kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kwa hilo kwa miaka mingi sana.

Miongoni mwetu Waafrika wa leo nani anaukumbuka au anaufahamu zile taratibu zetu walizotumia mababu zetu?
 
Naked and bitter truth.

But all in all, Afrika ni bara lenye watawala wengi zaidi ambao ni wa hovyo zaidi hapa duniani
Ni kweli nakubaliana na wewe lakini dunia hii mavita makubwa na maafa yameletwa zaidi na viongozi wa ulaya na USA hata vita vya dunia 1 na 2 wao ndio walileta, wao ndio walitumia atomic bomb.
 
Kama ni hivyo Waafrika tuigomee hiyo Mahakama ya kibaguzi.
 
Kweli kabisa tulikuwa na mifumo tayari, bahati mbaya uvamizi wao ndiyo ulituvuruga sisi, walisambaratisha na familia nyingi zenye utaratibu wa maisha ya kila siku na kuingiza mambo yao kwenye jamii zetu ili iwe rahisi kututawala na kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kwa hilo kwa miaka mingi sana.

Miongoni mwetu Waafrika wa leo nani anaukumbuka au anaufahamu zile taratibu zetu walizotumia mababu zetu?
Na hata kama tunazikumbuka/ tunazijua tunaona n ushenzi.
 
Back
Top Bottom