makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Huo sio usafiri kiukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu tunachoweza kukifanya kwa ufanisi hata kama tuna miundombinu yote wezeshi.Hata kuendesha mradi wa mabasi tu tumeshindwa! au pesa zilikuwa zinalipa madeni badala yakuendesha mradi?
Mwaka huu nishapanda kama mara 3 au 4 hivi, ni kichefuchefu kwa kweli, huko nyuma ilikuwa fresh kweli, ila siku hizi ni kichefuchefu, nitapanda kama sina namna kabisa ya usafiri mwingine, naishi kigamboni bora niende mpaka machinga kuzungurukia darajani, nikiwa na usafiri binafsi ndio kabisaaaa, siendi huko hata kwa bahati mbaya...Ulishajaribu mkuu?
Ila kule mwanzoni ilikuwa vizuri sana.
Naona kama mtu hajawahi kuutumia anaweza asielewe hali ilivyo kirahisi rahisi.
Oh! Means una option na Kigamboni hawako mwendokasiMwaka huu nishapanda kama mara 3 au 4 hivi, ni kichefuchefu kwa kweli, huko nyuma ilikuwa fresh kweli, ila siku hizi ni kichefuchefu, nitapanda kama sina namna kabisa ya usafiri mwingine, naishi kigamboni bora niende mpaka machinga kuzungurukia darajani, nikiwa na usafiri binafsi ndio kabisaaaa, siendi huko hata kwa bahati mbaya...
Kwangu kuvuka kwa pantoni n kuoanda mwendokasi ni nadra mnoo, inaweza kuoita miezi mi3 au 6, nisipande.
Kusimama masaa 2 unafikiri utakosa kizunguzungu? Mmekalia uchawa tu nchi inaendeshwa kiswahili km vikao vya umbea barazaniHueleweki bosi
Sasa hapo haujapata picha kamili ya usafiri huu.Mkuu sikufanikiwa bana! ilibidi tu nitumie usafiri mwingine
Chawa wa mama wa sehemu gani?Hueleweki bosi
Kitu kinapokuwa mali ya umma hakuna anayejali. Dereva anaegesha basi kituo kikubwa kwa muda mrefu wakati watu wamejazana hapo kituoni. Yeye Hana wasiwasi mshahara wake upo. UDA ilifirisika kwa upuuzi huu huu na DART ipo njiani kufa kwa mtindo huu huu. Hatuna cha kujifunza kwa kuangalia historia na mambo yale yale yanajirudia.Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council (Jiji) saa 11 kasoro 15 jioni sasa ni karibia saa 12 jioni bado sijafanikiwa kupanda.
Nchi yetu inashida sana wadau.
Kuna watu wanatakiwa kuchapwa viboko hadharani, kwa hujuma ya huu mradi hii idadi kubwa hivi ya watu ni pesa yakutosha.
Huu mradi ulipaswa kuwa mfano wakuigwa as hakuna nchi iliyouweza East Africa zaidi yetu.
Ni balaa na nusu.
Poleni sana watumia Mwendokasi kwa mateso makali.
Msikufuru, kwani hakuna binaadam anayeishi milele. Kama tegemeo lilikuwa ni mtu mmoja tu, basi hata angekamilisha matatizo yote baadae matatizo hayo yangerudi tu. Hivyo hakuna execuse katika kuondoka (kifo) kwake.Kwani angekuwepo Kuna mradi ungekuwa haujakamilika?
SGR isifike huku aisee ni balaaMradi ulianza kwa mbwembwe
Mapichapicha kibao....
Ma bus kedgeree ndani,ac,camera za bus zinafanya kazi.....selfie zilikuwa kibaooo zinapigwa
Ehh badaye mambo yakabadilika
Wanaandika kwenye mabox gerezani----moroco nkasema huu mradi kweshneyyy 😄
Sgr nayo wameanza kwa mbwembwe...humo ndani abiria
Wanakatika mauno komasava
Ila muda utaongea
Ova
Kwa mwenendo wa watu tuliyokuwa nao inaweza kufikaSGR isifike huku aisee ni balaa
Tuipe SGR krismasi ngapi? 😂Mradi ulipoanza picha picha video video kuchukua zilikuwa nyingi
Kama wanavyofanya sgr sahv
Mabaharia tunawaangalia tu ila
Kitakajo kuja kutokea huko mbele tunajuwa
Tukirudi sasa kwenye huu mwendokasi,usafiri wa mateso
Hawa udart biashara,wateja wanao lakini wanafeli 😄
Hii ni laaana au ni upmb#v tu
Wa wanaosimamia huu mradi
Ova