mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenichekeshaMradi ulianza kwa mbwembwe
Mapichapicha kibao....
Ma bus kedgeree ndani,ac,camera za bus zinafanya kazi.....selfie zilikuwa kibaooo zinapigwa
Ehh badaye mambo yakabadilika
Wanaandika kwenye mabox gerezani----moroco nkasema huu mradi kweshneyyy 😄
Sgr nayo wameanza kwa mbwembwe...humo ndani abiria
Wanakatika mauno komasava
Ila muda utaongea
Ova
Changamoto ni Sisiemu sio kingine Mwendokasi ni sehemu tu ya madhira nengi wanayotupitishaAisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council (Jiji) saa 11 kasoro 15 jioni sasa ni karibia saa 12 jioni bado sijafanikiwa kupanda.
Nchi yetu inashida sana wadau.
Kuna watu wanatakiwa kuchapwa viboko hadharani, kwa hujuma ya huu mradi hii idadi kubwa hivi ya watu ni pesa yakutosha.
Huu mradi ulipaswa kuwa mfano wakuigwa as hakuna nchi iliyouweza East Africa zaidi yetu.
Ni balaa na nusu.
Poleni sana watumia Mwendokasi kwa mateso makali.
Nchi imejaa wapigaji pekeeAisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council (Jiji) saa 11 kasoro 15 jioni sasa ni karibia saa 12 jioni bado sijafanikiwa kupanda.
Nchi yetu inashida sana wadau.
Kuna watu wanatakiwa kuchapwa viboko hadharani, kwa hujuma ya huu mradi hii idadi kubwa hivi ya watu ni pesa yakutosha.
Huu mradi ulipaswa kuwa mfano wakuigwa as hakuna nchi iliyouweza East Africa zaidi yetu.
Ni balaa na nusu.
Poleni sana watumia Mwendokasi kwa mateso makali.
Ahh wakifunguaga miradi mbwembwe nyingi,mapicha maselfie kibaoooumenichekesha
Chawa lini akaelewa yanayotokea nje ya nguo? Muda wore anasikilizia harufu ya nyeti za mwenye nguo zake!Hueleweki bosi
Na Bado kwenye Sgr 😆😆Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council (Jiji) saa 11 kasoro 15 jioni sasa ni karibia saa 12 jioni bado sijafanikiwa kupanda.
Nchi yetu inashida sana wadau.
Kuna watu wanatakiwa kuchapwa viboko hadharani, kwa hujuma ya huu mradi hii idadi kubwa hivi ya watu ni pesa yakutosha.
Huu mradi ulipaswa kuwa mfano wakuigwa as hakuna nchi iliyouweza East Africa zaidi yetu.
Ni balaa na nusu.
Poleni sana watumia Mwendokasi kwa mateso makali.
Zzamani TRC walikuwa na mabasi yao, kwahiyo kama wangeweza hivi sasa wangenunua mabasi makubwa kwa ajili ya abiria wanaoshuka hapo kwenda sehemu zingine za jiji na miji mingineAisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council (Jiji) saa 11 kasoro 15 jioni sasa ni karibia saa 12 jioni bado sijafanikiwa kupanda.
Nchi yetu inashida sana wadau.
Kuna watu wanatakiwa kuchapwa viboko hadharani, kwa hujuma ya huu mradi hii idadi kubwa hivi ya watu ni pesa yakutosha.
Huu mradi ulipaswa kuwa mfano wakuigwa as hakuna nchi iliyouweza East Africa zaidi yetu.
Ni balaa na nusu.
Poleni sana watumia Mwendokasi kwa mateso makali.
hali si hali. ni kama janga la dola tu nilidhani ni utani mpaka siku niliyokuwa natafuta dola 20, nilizunguka bila kuambulia hata dola 1. ndo nikaamini shida ni mpaka ikukuteAisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council (Jiji) saa 11 kasoro 15 jioni sasa ni karibia saa 12 jioni bado sijafanikiwa kupanda.
Nchi yetu inashida sana wadau.
Kuna watu wanatakiwa kuchapwa viboko hadharani, kwa hujuma ya huu mradi hii idadi kubwa hivi ya watu ni pesa yakutosha.
Huu mradi ulipaswa kuwa mfano wakuigwa as hakuna nchi iliyouweza East Africa zaidi yetu.
Ni balaa na nusu.
Poleni sana watumia Mwendokasi kwa mateso makali.
Ni kweli kabisa, hii yakusikia au kusimuliwa unaweza kufikiri ni jambo dogo au la kawaida tu.hali si hali. ni kama janga la dola tu nilidhani ni utani mpaka siku niliyokuwa natafuta dola 20, nilizunguka bila kuambulia hata dola 1. ndo nikaamini shida ni mpaka ikukute
Unaunga unga sio lazima usubiri mwendokasi masaa matati na kuna option kibao za usafiri, sema ndo ivo waliokariri kupanda mwendokasi ni ngumu kuwahamisha.Mjini kuelekea Kimara hakuna Daladala
HUAisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.
Binafsi nilikuwa najua ni changamoto kidogo tu na kuona kama vile wabongo tunapenda kulalamika, Nimenyoosha mikono leo.
Kwenye kituo kuna watu wengi sana, magari hakuna! yanayokuja yamejaa kupita kiasi.
Nimeingia kituo cha City Council (Jiji) saa 11 kasoro 15 jioni sasa ni karibia saa 12 jioni bado sijafanikiwa kupanda.
Nchi yetu inashida sana wadau.
Kuna watu wanatakiwa kuchapwa viboko hadharani, kwa hujuma ya huu mradi hii idadi kubwa hivi ya watu ni pesa yakutosha.
Huu mradi ulipaswa kuwa mfano wakuigwa as hakuna nchi iliyouweza East Africa zaidi yetu.
Ni balaa na nusu.
Poleni sana watumia Mwendokasi kwa mateso makali.
SRG nasingiziwa mimi je Mwendokasi nani mtamlaumu.Aisee, Naomba nitoe pole kwa watumiaji wa huu usafiri.