KERO Mwendokasi ni Changamoto zaidi ya inavyozungumzwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ulishajaribu mkuu?
Ila kule mwanzoni ilikuwa vizuri sana.

Naona kama mtu hajawahi kuutumia anaweza asielewe hali ilivyo kirahisi rahisi.
Mwaka huu nishapanda kama mara 3 au 4 hivi, ni kichefuchefu kwa kweli, huko nyuma ilikuwa fresh kweli, ila siku hizi ni kichefuchefu, nitapanda kama sina namna kabisa ya usafiri mwingine, naishi kigamboni bora niende mpaka machinga kuzungurukia darajani, nikiwa na usafiri binafsi ndio kabisaaaa, siendi huko hata kwa bahati mbaya...

Kwangu kuvuka kwa pantoni n kuoanda mwendokasi ni nadra mnoo, inaweza kuoita miezi mi3 au 6, nisipande.
 
Oh! Means una option na Kigamboni hawako mwendokasi
 
Bora mwendokasi Ina faida ukipanda chap umefika, njoo kituo Cha stesheni upande dirishani mabasi ya mbagala
 
Hata Mimi huwa nawapa pole Sana wakazi wa KIMARA Kwa mateso yale ya kupanda kwenye bus Kwa foleni kama wafungwa.
Kero kubwa ya mwendokasi ni WAHA WA KIGOMA NA MABESENI,MAKAPU,NDOO NA MIKEKA KAMA WAKIMBIZI
 
Unaweza kuta mapato ya mwendokasi yanakwenda LUMUMBA moja kwa moja.
Tuna watawala wanao tuhujumu kila eneo.
 
Kitu kinapokuwa mali ya umma hakuna anayejali. Dereva anaegesha basi kituo kikubwa kwa muda mrefu wakati watu wamejazana hapo kituoni. Yeye Hana wasiwasi mshahara wake upo. UDA ilifirisika kwa upuuzi huu huu na DART ipo njiani kufa kwa mtindo huu huu. Hatuna cha kujifunza kwa kuangalia historia na mambo yale yale yanajirudia.
 
Mradi ulianza kwa mbwembwe
Mapichapicha kibao....
Ma bus kedgeree ndani,ac,camera za bus zinafanya kazi.....selfie zilikuwa kibaooo zinapigwa
Ehh badaye mambo yakabadilika
Wanaandika kwenye mabox gerezani----moroco nkasema huu mradi kweshneyyy πŸ˜„

Sgr nayo wameanza kwa mbwembwe...humo ndani abiria
Wanakatika mauno komasava
Ila muda utaongea

Ova
 
Kwani angekuwepo Kuna mradi ungekuwa haujakamilika?
Msikufuru, kwani hakuna binaadam anayeishi milele. Kama tegemeo lilikuwa ni mtu mmoja tu, basi hata angekamilisha matatizo yote baadae matatizo hayo yangerudi tu. Hivyo hakuna execuse katika kuondoka (kifo) kwake.
 
Hata Mimi huwa nawapa pole Sana wakazi wa KIMARA Kwa mateso yale ya kupanda kwenye bus Kwa foleni kama wafungwa.
Kero kubwa ya mwendokasi ni WAHA WA KIGOMA NA MABESENI,MAKAPU,NDOO NA MIKEKA KAMA WAKIMBIZI
Aisee
 
SGR isifike huku aisee ni balaa
 
Tuipe SGR krismasi ngapi? πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…