KERO Mwendokasi ni Changamoto zaidi ya inavyozungumzwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
umenichekesha
 
Changamoto ni Sisiemu sio kingine Mwendokasi ni sehemu tu ya madhira nengi wanayotupitisha
 
Nchi imejaa wapigaji pekee
 
Na Bado kwenye Sgr πŸ˜†πŸ˜†

Hiyo BRT ni mradi wa kifisadi pia , gharama inazotumia kujenga hizo njia za zege ingetosha kufungua routes Mpya za Jiji na Msongamano usingekuwepo.
 
Na Bado kwenye Sgr πŸ˜†πŸ˜†

Hiyo BRT ni mradi wa kifisadi pia , gharama inazotumia kujenga hizo njia za zege ingetosha kufungua routes Mpya za Jiji na Msongamano usingekuwepo.
Tunapigwa strategically
 
Zzamani TRC walikuwa na mabasi yao, kwahiyo kama wangeweza hivi sasa wangenunua mabasi makubwa kwa ajili ya abiria wanaoshuka hapo kwenda sehemu zingine za jiji na miji mingine
 
Yaani wewe hata dakika 45 hazijaisha ushaanzisha thread, mwendokasi ni janga kubwa.
Mimi bado ni mpenz wa daladala tu.
 
Wanaiba tu hapo hakuna Kingine imekua sehemu rahisi ya kuiba pesa za Umma ndio maana changamoto haziishi..
 
hali si hali. ni kama janga la dola tu nilidhani ni utani mpaka siku niliyokuwa natafuta dola 20, nilizunguka bila kuambulia hata dola 1. ndo nikaamini shida ni mpaka ikukute
 
hali si hali. ni kama janga la dola tu nilidhani ni utani mpaka siku niliyokuwa natafuta dola 20, nilizunguka bila kuambulia hata dola 1. ndo nikaamini shida ni mpaka ikukute
Ni kweli kabisa, hii yakusikia au kusimuliwa unaweza kufikiri ni jambo dogo au la kawaida tu.
 
Reactions: Lax
Yaani wewe hata dakika 45 hazijaisha ushaanzisha thread, mwendokasi ni janga kubwa.
Mimi bado ni mpenz wa daladala tu.
Mjini kuelekea Kimara hakuna Daladala
 
Mjini kuelekea Kimara hakuna Daladala
Unaunga unga sio lazima usubiri mwendokasi masaa matati na kuna option kibao za usafiri, sema ndo ivo waliokariri kupanda mwendokasi ni ngumu kuwahamisha.
 
Kama mtu hutendi haki kwenye mambo yako huwezi kufanikiwa chochote... Kuna mwingine alisema action has equal and opposite reaction
 
changamoto nyengine niliyoiyona ni jinsi ya kuingia pale stend huchukua hadi nusu saa tu kuingia sababu ya daladala bora wangekua wanapita kwa nyuma kule alafu wanarudi livasi waingie kituo chao
 
HU
 
SRG nasingiziwa mimi je Mwendokasi nani mtamlaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…