Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Habari wakuu.
Weka na wewe mkasa ambao umeshuhudia kwenye basi
Weka na wewe mkasa ambao umeshuhudia kwenye basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu inabidi wakontrol mashine zaoMwendo kasi inaleta umaskini popote utapopandia ni 650.
HahahahaSiku moja nikapambana kugombania nikawahi kukaa kwenye vile viseat vya wajawazito na walemavu
Sasa mimi sikua najua
Watu wakanisakama kwa jazba sana
Watanzania tujifunze kuelimisha kwanza kabla ya kuhukumu
Baadhi ya route za magari ya kawaida zimefuta ili kupisha biashara ya mwendo kasi, mfano kimara ubungo. Hapo lazma ukate tiketiKusubiria sana kituoni hadi mtu unajilaumu kwa nini umekata ticket
y?Sina ham mimi
Kumbe sio 400Mwendo kasi inaleta umaskini popote utapopandia ni 650.
Ama "msaada sh 300"Mwendo kasi inaleta umaskini popote utapopandia ni 650.
Ila ukiwa ubungo...kuna Mbezi -Buguruni lakiniBaadhi ya route za magari ya kawaida zimefuta ili kupisha biashara ya mwendo kasi, mfano kimara ubungo. Hapo lazma ukate tiketi