Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
- Thread starter
- #21
Binti kabanwa wigi mlangoni...... watu nje wanasema dereva unauwa mtuuuuuuuuu
... ilA walioko ndani wanacheka maana binti alibakiza kichwa wazi.... alafu amenyoa dongo
... ilA walioko ndani wanacheka maana binti alibakiza kichwa wazi.... alafu amenyoa dongo