MwendoKasi Special Thread: (Mikasa na vituko vinavyojiri kwenye mabasi ya Mwendokasi)

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,715
Reaction score
2,385
Habari wakuu.

Weka na wewe mkasa ambao umeshuhudia kwenye basi
 
Mikasa mingi MFANO
Mtu kuachwa na mwenzake kituoni pale korogwe AFU aliyeachwa ni mgeni jijini na Hana simu
Pia mkoba WA mwanamke kubwana na milango yeye ndani mkoba NJE AFU dreva anajifanya Hana Habari ilikuwa pale ubungo maji ikabidi mwanamke ashike HiVyO HiVyO mpk kituo cha mbele.
 
Ukisubiri gari za kimara pale gerezani unakaa sana, halafu unagombania, na madereva wakija wanapaki pembeni sijui wanafanyaga nini!
Huduma haisadifu maana kamili ya mwendo kasi
 
Siku moja nikapambana kugombania nikawahi kukaa kwenye vile viseat vya wajawazito na walemavu
Sasa mimi sikua najua
Watu wakanisakama kwa jazba sana
Watanzania tujifunze kuelimisha kwanza kabla ya kuhukumu
 
Siku moja nikapambana kugombania nikawahi kukaa kwenye vile viseat vya wajawazito na walemavu
Sasa mimi sikua najua
Watu wakanisakama kwa jazba sana
Watanzania tujifunze kuelimisha kwanza kabla ya kuhukumu
Hahahaha
 
Mabaya tu, mazuri hamna jamani?
 
Mwendokasi ni nzuri kwa michepuko,nikisimama nyuma ya dem huwa pia nafarijika kwny safari yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…