Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
- Thread starter
-
- #21
Hahahaha chura anaruka ruka.Juzi natoka kisutu magari ya mbezi yamejaa, nkaamua nipande hvyo hivyo, sasa ule mbanano kuna kibaba kikaanza kujisugulia kwenye matako yangu, nikigeuka anajifanya haoni
Bora hata ningekuwa na huyo chura ningesema katamani, flat screen ya sumsungHahahaha chura anaruka ruka.
Magnetic field tu hapo akajikuta amevutwa.Bora hata ningekuwa na huyo chura ningesema katamani, flat screen ya sumsung
Ila wanaume 4G ikishasimama mnara huwa akili mnakosaMagnetic field tu hapo akajikuta amevutwa.
Hapo ungemuuliza unaenda wapi angesema anaenda mkoani kumbe safari ni kimara mwisho.Ila wanaume 4G ikishasimama mnara huwa akili mnakosa
Alikuwa na ukame huyo, au wewe ulivaa vazi la kuhamasisha.Ila wanaume 4G ikishasimama mnara huwa akili mnakosa
Kwani we hukusikia rahaBora hata ningekuwa na huyo chura ningesema katamani, flat screen ya sumsung
Wala, mtoto wa kiislam miyeAlikuwa na ukame huyo, au wewe ulivaa vazi la kuhamasisha.
HahahaKwani we hukusikia raha
Hicho kicheko unaonekana ulitamani safari iwe ndefu mchelewe kufikaHahaha
Hukuvaa buibui zile za kubana mzigo kweli?Wala, mtoto wa kiislam miye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha ya mwendokasi bhna hata ukutane na mtu unayemjua hakuna haja ya kumlipia nauli kwasabab kashakata tiketi.. Asante Mwendokasi
itakuwa uko vzr huko nyuma [emoji6][emoji6][emoji6]Juzi natoka kisutu magari ya mbezi yamejaa, nkaamua nipande hvyo hivyo, sasa ule mbanano kuna kibaba kikaanza kujisugulia kwenye matako yangu, nikigeuka anajifanya haoni