Anajisuguliaje sasa.?Juzi natoka kisutu magari ya mbezi yamejaa, nkaamua nipande hvyo hivyo, sasa ule mbanano kuna kibaba kikaanza kujisugulia kwenye matako yangu, nikigeuka anajifanya haoni
Ndiyo matokeo ya kujaariwa neema za Allah mpaka unaleta mfadhaiko kwa wanaume. Hata hivyo shukuru mungu maana wengi wanaomba hizo neema na hajajaliwa kuzipata. Wameishia kutumia neema hewa za mchina.Juzi natoka kisutu magari ya mbezi yamejaa, nkaamua nipande hvyo hivyo, sasa ule mbanano kuna kibaba kikaanza kujisugulia kwenye matako yangu, nikigeuka anajifanya haoni
Labda una vingine vizuri...kama vile sura, una ngozi nyororo au ulivaa vizuri ukawa unavutia.Bora hata ningekuwa na huyo chura ningesema katamani, flat screen ya sumsung
Bila hiyo hata nguvu ya kuwafukuzia haingekuwepo.Ila wanaume 4G ikishasimama mnara huwa akili mnakosa
Mzee wa kudungaMwendokasi ni nzuri kwa michepuko,nikisimama nyuma ya dem huwa pia nafarijika kwny safari yangu.
Hahahaaa wazee wa kudunga haoJuzi natoka kisutu magari ya mbezi yamejaa, nkaamua nipande hvyo hivyo, sasa ule mbanano kuna kibaba kikaanza kujisugulia kwenye matako yangu, nikigeuka anajifanya haoni
Nawe zunguka nalo, mkuuMwendokasi kero kuanzia SAA 11-1.30 jioni ukiwa Kkoo, fire au posta watu ..huwa wengi sans...wengine wanapandia magomeni na kuzunguka nayo posta au gerezani...mkiwa gerezani kila Gari imejaa..
Duuh hatari sana mkuu.... hamna namnaMwendokasi zinavituko sana kuna siku nilikuwa ubungo maji dereva alichapwa makofi sana na abiria wenye hasira Kali hadi aligoma endesha...hahaha
Tukio lilikuwa kama ifuatavyo abiria tumejaa kituoni magari yanakuja yanapitiliza huyu dereva yeye alikuja kwa speed kama anapitiliza alafu akasimama alipoweka gari vizuri watu wanajipanga kugombania ingia jamaa wala hakufungua milango akaondoa gari watu walipiga kelele balaa kumbe lengo lake kuwa chora abiria akasogea kidogo mpaka kwenye zebra kasimama anawaangalia watu alafu anacheka akarudisha gari alipofungua mlango tu hahaha kuna mzee wa makamo alimchapa makofi ya hatari sana jamaa alilia akagoma endesha mzee akamwambia sasa ngoja niwapigie maboss zako, ikabidi jamaa aendeshe tu kishingo upande
Hata mm huwa nawaza kinyama... kero sana .... lani wake za watu wanakumbatiwa indirect kabisaKinachokera ni ile hali watu mnajazana watu wanatoa deadly gas,wanamajasho yani nikiwa naenda kwenye shughuli zangu asubuhi na jion huwa nawaza sana aseh kupanda aya magari
Magnetic field tu hapo akajikuta amevutwa.
kitu inaitw *near field comunication*Bora hata ningekuwa na huyo chura ningesema katamani, flat screen ya sumsung
decisions zote huwa tunahamishia kichwa cha chini, kichwa cha juu kinakula off kwanzaIla wanaume 4G ikishasimama mnara huwa akili mnakosa
Ndo umbile lenudecisions zote huwa tunahamishia kichwa cha chini, kichwa cha juu kinakula off kwanza
Ila wanaume tunapata shida sana.... hasa ukiwa umevaa suruali ya kitambaa hapo ndio utaumbuka kabisa...kitu inaitw *near field comunication*
Weka pichaBora hata ningekuwa na huyo chura ningesema katamani, flat screen ya sumsung
Tumia bodaboda au daladala mkuu, tuachie mwendokasi!Mwendo kasi inaleta umaskini popote utapopandia ni 650.