Mwendokasi UDART mmefeli

VIpi kuhusu kuendesha biashara kaa hasara kwa kigezo cha huduma bora. Sema huduma stahiki kulingana na uwezo wake sio bora
Nauli ilitakiwa iwe 1,200/- ndio wangeendesha watu wanavyopenda. Siasa zikaingia wakaambiwa nauli ni 650/- inabidi wajiendeshe hivyo ili wasurvive.
 
Tunazungumzia udart ambao ni bora zaidi unaleta habari za matatu daah...hao matatu wana bara bara yao kama Udart ya Dalsm?
 
Tunazungumzia udart ambao ni bora zaidi unaleta habari za matatu daah...hao matatu wana bara bara yao kama Udart ya Dalsm?
Kama hujatembea huwezi kuelewa so, baki hapo na udati yenu, huwezi jazana tembea kwa miguu!.
 
Zile za kivukon zinavyojaza sasa,ile hatar unaweza hata kuambukizwa magonjwa.
 
Mkiwa mmebanana kama mizigo.
Mnatembea kidogo mnasimamishwa, kwamba kuna msafara. Dk 30 mmesimama.
Joto linawapiga sawasawa.
 
Unaweza kuwa umetembea karibuni dunia yote ila usielewe mkuu!.

Kila binadamu anatembea akiwa na makusudi yake ujue!.
Hakuna kitu kama hicho mkuu utembee usielewe ndio maana yake nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…