RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Nauli ilitakiwa iwe 1,200/- ndio wangeendesha watu wanavyopenda. Siasa zikaingia wakaambiwa nauli ni 650/- inabidi wajiendeshe hivyo ili wasurvive.VIpi kuhusu kuendesha biashara kaa hasara kwa kigezo cha huduma bora. Sema huduma stahiki kulingana na uwezo wake sio bora