Kuna culture inatakiwa ibadilike kwenye hizo taasis kutoka force to serviceHakuna asiyejua kwamba mtawala aliyepo sasa ni mkandamizaji na muuaji dhidi ya raia wake wanaokosoa utendaji wake.
Analitumia jeshi letu kwa ujumla wake kama jeshi lake binafsi. Tumeona baadhi ya wananjeshi wakivikwa sare za polisi wakati wananchi walipotaka kuandamana kupinga utekaji, utesaji na mauaji ya raia.
Jeshi letu limejipa jukumu la kutekekeza kila amri na maagizo ya viongozi wa juu bila kuchakata athari za kijamii na kibinadamu.
Tumesikia shuhuda za wanaotekwa na kuteswa kisha kunusurika namna ambavyo walipelekwa maeneo ya vikosi vyetu kuteswa na kutupwa huko.
Tunashuhudia namna ambayo askari mbele ya kamera wakiwapiga na kuwafanyia ukatili mkubwa wanasiasa wa upinzani.
Matendo haya na ukimya wa viongozi hususan Amiri Jeshi Mkuu, inaleta maana moja kwamba amri zinatoka juu. Juu wapi naamini jibu unalo ndugu msomaji.
Itoshe kusema askari wetu wamefuzu na kuhitimu katika medani za UKATILI DHIDI YA BINADAMU. Wanaweza sasa kukodiwa kama mamluki kwenye maeneo yanayohitaji askari wa kukodiwa. Wanaweza hata kushirikiana na magaidi duniani maana matendo yao hayana utofauti na magaidi.
Natoa hoja
Kuna culture inatakiwa ibadilike kwenye hizo taasis kutoka force to service
Bado kuna culture ya kikoloni inaendelea nayo ni kutumia nguvu all the time
Hoja yako ni dhaifu, hapo Kenya walishatoka huko kwenye mfumo wa Force na sasa wanatumia service ila mbona utendaji kazi wao ni kama huu wa vyombo vyetu vya Tz! Acheni kuiga kwa nchi za magharibi.Kuna culture inatakiwa ibadilike kwenye hizo taasis kutoka force to service
Bado kuna culture ya kikoloni inaendelea nayo ni kutumia nguvu all the time
Mbona hafungui nchi tena?Anaponya majeraha
CCM ni magaidi tupu..hata wakoloni wa kiingereza hawakuwa wakatili kwa Tanu, ukilinganisha na Ccm walivyo wakatili kwa wapinzani.
..kwa mfano, nitajie tukio lolote lile la Mwalimu Nyerere kukamatwa, kudhalilishwa, na kujeruhiwa, kama ilivyotokea kwa Prof Lipumba, Freeman Mbowe, au Tundu Lissu.
Unataka kusemaje, unashauri nini?Hoja yako ni dhaifu, hapo Kenya walishatoka huko kwenye mfumo wa Force na sasa wanatumia service ila mbona utendaji kazi wao ni kama huu wa vyombo vyetu vya Tz! Acheni kuiga kwa nchi za magharibi.
Colonial legacyKuna culture inatakiwa ibadilike kwenye hizo taasis kutoka force to service
Bado kuna culture ya kikoloni inaendelea nayo ni kutumia nguvu all the time
Kenya wana Service lakini Polisi ndio wanauwa raiaKuna culture inatakiwa ibadilike kwenye hizo taasis kutoka force to service
Bado kuna culture ya kikoloni inaendelea nayo ni kutumia nguvu all the time
Baada ya kusikitisha unaomba Mungu awasaidie.Hakika ili jambo linasikitisha Sana .