Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Ni suala la kijamii zaidi, kuna jamii zina culture za ajabu ajab, kuna jamii zime staarabikaKenya wana Service lakini Polisi ndio wanauwa raia
Humanity ni swala la Kiroho zaidi
Ni suala la kijamii zaidi, kuna jamii zina culture za ajabu ajab, kuna jamii zime staarabikaKenya wana Service lakini Polisi ndio wanauwa raia
Humanity ni swala la Kiroho zaidi
Kenya ni nchi ya magharibi?Hoja yako ni dhaifu, hapo Kenya walishatoka huko kwenye mfumo wa Force na sasa wanatumia service ila mbona utendaji kazi wao ni kama huu wa vyombo vyetu vya Tz! Acheni kuiga kwa nchi za magharibi.
Kenya is not a good example, kuna nchi zina polic wamestaarabikaKenya wana Service lakini Polisi ndio wanauwa raia
Humanity ni swala la Kiroho zaidi
..hata wakoloni wa kiingereza hawakuwa wakatili kwa Tanu, ukilinganisha na Ccm walivyo wakatili kwa wapinzani.
..kwa mfano, nitajie tukio lolote lile la Mwalimu Nyerere kukamatwa, kudhalilishwa, na kujeruhiwa, kama ilivyotokea kwa Prof Lipumba, Freeman Mbowe, au Tundu Lissu.
Umezaliwa lini bwana mdogo? Umesahau akina Mapalala James na wenzake?
Muhidin Kimario alimfunga Mapalala minyororo na kumpqeleka kizuizini..
..James Mapalala aliwekwa kizuizini na utawala wa Mwalimu Nyerere.
..Nimekuomba unipe tukio ambalo Mwalimu Nyerere au kiongozi wa Tanu alikamatwa, kudhalilishwa, au kujeruhiwa, na askari wa wakoloni wa Kiingereza.
..Sasa hivi kuna mifano mingi ya viongozi wa upinzani, kwa mfano, Prof.Lipumba, Freeman Mbowe, Tundu Lissu, na wengine, ambao wametendewa ukatili na Polisi wa serikali ya Ccm.
..Ndio maana nasema Ccm ni wakatili kuzidi wakoloni wa Kiingereza.
Kasanga Tumbo alifungwa minyororo akapelekwa kizuizini. Alipotoka akakuta mke wake ameolewa..
..James Mapalala aliwekwa kizuizini na utawala wa Mwalimu Nyerere.
..Nimekuomba unipe tukio ambalo Mwalimu Nyerere au kiongozi wa Tanu alikamatwa, kudhalilishwa, au kujeruhiwa, na askari wa wakoloni wa Kiingereza.
..Sasa hivi kuna mifano mingi ya viongozi wa upinzani, kwa mfano, Prof.Lipumba, Freeman Mbowe, Tundu Lissu, na wengine, ambao wametendewa ukatili na Polisi wa serikali ya Ccm.
..Ndio maana nasema Ccm ni wakatili kuzidi wakoloni wa Kiingereza.
Kenya Wana rais wa hovyo anajidai ni mlokole wa mchongo!Hoja yako ni dhaifu, hapo Kenya walishatoka huko kwenye mfumo wa Force na sasa wanatumia service ila mbona utendaji kazi wao ni kama huu wa vyombo vyetu vya Tz! Acheni kuiga kwa nchi za magharibi.
amri zinatoka juu
Unataka Polisi waingie kwenye mfumo wa service wakati vitani nao wanaenda kwa hiyo mamlaka inajua inachokifanyaKenya is not a good example, kuna nchi zina polic wamestaarabika
Ukombozi unakaribia, raisi wetu kipenzi anakalibia kutoka gerezaniHakuna asiyejua kwamba mtawala aliyepo sasa ni mkandamizaji na muuaji dhidi ya raia wake wanaokosoa utendaji wake.
Analitumia jeshi letu kwa ujumla wake kama jeshi lake binafsi. Tumeona baadhi ya wananjeshi wakivikwa sare za polisi wakati wananchi walipotaka kuandamana kupinga utekaji, utesaji na mauaji ya raia.
Jeshi letu limejipa jukumu la kutekekeza kila amri na maagizo ya viongozi wa juu bila kuchakata athari za kijamii na kibinadamu.
Tumesikia shuhuda za wanaotekwa na kuteswa kisha kunusurika namna ambavyo walipelekwa maeneo ya vikosi vyetu kuteswa na kutupwa huko.
Tunashuhudia namna ambayo askari mbele ya kamera wakiwapiga na kuwafanyia ukatili mkubwa wanasiasa wa upinzani.
Matendo haya na ukimya wa viongozi hususan Amiri Jeshi Mkuu, inaleta maana moja kwamba amri zinatoka juu. Juu wapi naamini jibu unalo ndugu msomaji.
Itoshe kusema askari wetu wamefuzu na kuhitimu katika medani za UKATILI DHIDI YA BINADAMU. Wanaweza sasa kukodiwa kama mamluki kwenye maeneo yanayohitaji askari wa kukodiwa. Wanaweza hata kushirikiana na magaidi duniani maana matendo yao hayana utofauti na magaidi.
Natoa hoja