Mwenendo na ukatili wa askari wetu unatafakatisha na kuhuzunisha

Hoja yako ni dhaifu, hapo Kenya walishatoka huko kwenye mfumo wa Force na sasa wanatumia service ila mbona utendaji kazi wao ni kama huu wa vyombo vyetu vya Tz! Acheni kuiga kwa nchi za magharibi.
Kenya ni nchi ya magharibi?
 

Umezaliwa lini bwana mdogo? Umesahau akina Mapalala James na wenzake?
 
..
Umezaliwa lini bwana mdogo? Umesahau akina Mapalala James na wenzake?

..James Mapalala aliwekwa kizuizini na utawala wa Mwalimu Nyerere.

..Nimekuomba unipe tukio ambalo Mwalimu Nyerere au kiongozi wa Tanu alikamatwa, kudhalilishwa, au kujeruhiwa, na askari wa wakoloni wa Kiingereza.

..Sasa hivi kuna mifano mingi ya viongozi wa upinzani, kwa mfano, Prof.Lipumba, Freeman Mbowe, Tundu Lissu, na wengine, ambao wametendewa ukatili na Polisi wa serikali ya Ccm.

..Ndio maana nasema Ccm ni wakatili kuzidi wakoloni wa Kiingereza.
 
Muhidin Kimario alimfunga Mapalala minyororo na kumpqeleka kizuizini
 
Kasanga Tumbo alifungwa minyororo akapelekwa kizuizini. Alipotoka akakuta mke wake ameolewa
 
Badala kuwa na msajiri wa vyama tuwe na msajiri wa vikundi vya kijeshi tuipiganie nchi yetu.
 
Hoja yako ni dhaifu, hapo Kenya walishatoka huko kwenye mfumo wa Force na sasa wanatumia service ila mbona utendaji kazi wao ni kama huu wa vyombo vyetu vya Tz! Acheni kuiga kwa nchi za magharibi.
Kenya Wana rais wa hovyo anajidai ni mlokole wa mchongo!
 
Askari mwenyewe qualification yake ni D mbili. Yaani upate division four ya 26, uende undata. 😁
 
Kenya is not a good example, kuna nchi zina polic wamestaarabika
Unataka Polisi waingie kwenye mfumo wa service wakati vitani nao wanaenda kwa hiyo mamlaka inajua inachokifanya

Ukitaka watoke kwenye mambo ya kijeshi jeshi muwatoe pia hata kwenda vitani

☆Shida sio kuwa na mfumo wa service ila shida ni Kiongozi wa juu aliyepo maana ndo anatoa amri ya kuwatumia kwenye siasa na sidhani kama akiwepo Rais ambae hapendi huu ujinga wa kuwaingiza vyombo vya ulinzi na usalama kwenye siasa nahisi leo tusingekuwa tunaongea hivi

Katiba iwape nguvu ya kufanya maamuzi yao pia atokee Rais anaejielewa
 
Ukombozi unakaribia, raisi wetu kipenzi anakalibia kutoka gerezani
 
Sheria ya Usalama wa Taifa ni kielelezo dhahiri namna ambavyo vikosi vyetu wamejiandaa na kujipanga kufanya mauaji ya kimbari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…