Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Hapa ndio mahakama inaonekana kitukoPolisi kuiteka Mahakama, : Majaji ngoja tukajadiliane kwanza.
Ukisikia hivyo ujue wanakwenda kupiga simu kwa mtu ambaye hakusoma sheria awape maelekezo ya kisheria.Polisi kuiteka Mahakama, : Majaji ngoja tukajadiliane kwanza.
Shida inaanzia kwa hawa watu ambao wapo juu ya sheria. Kwa uzoefu ni wazi kuwa ni criminalsYou'll never find justice in a world where criminals make the rules.
Tatizo ni zile "simu" alizo sema rosti tamu.Mfumo wetu wa mahakama una bagaza maana nzima ya ya mtu kusoma kwa sababu ina maana gani basi mtu uwe wakili wa serikali au jaji lakini unacho fanya kina ondoa maana nzima ya wewe kuwa na elimu uliyo nayo?Tangu Kisutu hadi mahakama kuu nikifuatilia hii kesi ya uhaini nimefikia hitimisho kuwa kinachofanyika ni figisu tu. Lugha ngumu, mabuku makubwa, muda mwingi kupotea, na mavazi yenye madoido mengi, n.k.
Fikiria mtu anajenga hoja na kujenga hadi unaziona lakini watu wanateta kando kisha wanasema wametupilia mbali hoja husika.
Binafsi nimekuwa na kesi mahakamani. Pale kama huna hatia, kuweka wakili ni kupoteza muda na fedha. Kinyume na hapo mbwembwe zote hizo za kisheria lengo lake ni kutetea uhalifu na wahalifu.
Sheria wala sio ngumu kama wanavyotaka tuamini. Sheria maana yake ni kusimamia yaliyo ya haki. Kwamba kuna watu wanaoitwa mahakimu hukaa pale na kutoa maamuzi juu ya mwenendo wa kesi. Sasa ugumu wa kesi huja pale ambapo haki huanza kuporwa kwa njia ya rushwa.
Kinyume chake ni busara, hekima na haki tu ndivyo vinavyohitajika katika kutoa maamuzi na hukumu. Busara na hekima kama aliyotumia Suleiman kwenye kesi ya mtoto.
Ukitata kujua sheria si jambo la kimantiki tazama vile ambavyo hao mahakimu na majaji hupokea maagizo toka juu. Mtu ambaye alisoma na kusoma na kukariri ila mwisho anakuja kupokea maagizo ili kupindisha ukweli.
Ifike muda tuiangalie upya sheria na kuachana na zile mbwembwe nyingi ambazo hazina mashiko zaidi ya kupoteza tu muda
Hapo ndipo wanafeli maana wanashindwa kutumia taaluma zao kuwakwepa hao wazee wa simu na vimemo. Ndipo tunahitimisha kuwa sheria ni kupotezeana muda tu. Bora mhandisi na TabibuTatizo ni zile "simu" alizo sema rosti tamu.Mfumo wetu wa mahakama una bagaza maana nzima ya ya mtu kusoma kwa sababu ina maana gani basi mtu uwe wakili wa serikali au jaji lakini unacho fanya kina ondoa maana nzima ya wewe kuwa na elimu uliyo nayo?
Tatizo sio sheria, tatizo ukiongozwa na wahuni kila kitu kinakuwa cha kudharaulika, iwe Polisi, iwe huduma ya usafiri, ujenzi , Elimu , afya, majudiano n.kTangu Kisutu hadi mahakama kuu nikifuatilia hii kesi ya uhaini nimefikia hitimisho kuwa kinachofanyika ni figisu tu. Lugha ngumu, mabuku makubwa, muda mwingi kupotea, na mavazi yenye madoido mengi, n.k.
Fikiria mtu anajenga hoja na kujenga hadi unaziona lakini watu wanateta kando kisha wanasema wametupilia mbali hoja husika.
Binafsi nimekuwa na kesi mahakamani. Pale kama huna hatia, kuweka wakili ni kupoteza muda na fedha. Kinyume na hapo mbwembwe zote hizo za kisheria lengo lake ni kutetea uhalifu na wahalifu.
Sheria wala sio ngumu kama wanavyotaka tuamini. Sheria maana yake ni kusimamia yaliyo ya haki. Kwamba kuna watu wanaoitwa mahakimu hukaa pale na kutoa maamuzi juu ya mwenendo wa kesi. Sasa ugumu wa kesi huja pale ambapo haki huanza kuporwa kwa njia ya rushwa.
Kinyume chake ni busara, hekima na haki tu ndivyo vinavyohitajika katika kutoa maamuzi na hukumu. Busara na hekima kama aliyotumia Suleiman kwenye kesi ya mtoto.
Ukitata kujua sheria si jambo la kimantiki tazama vile ambavyo hao mahakimu na majaji hupokea maagizo toka juu. Mtu ambaye alisoma na kusoma na kukariri ila mwisho anakuja kupokea maagizo ili kupindisha ukweli.
Ifike muda tuiangalie upya sheria na kuachana na zile mbwembwe nyingi ambazo hazina mashiko zaidi ya kupoteza tu muda
Sasa tulitegemea hao wanasheria kwa umoja wao na umuhimu wao wanaotaka kutuaminisha waweze kudhibiti hao wahuni. Ukitamka "rushwa" moja kwa moja unagusa sheria. Hii taaluma imepoteza mwelekeo. Bora polisi maana hao wamejengwa kufuata oda kama roboti. Sheria imejengwa kujenga hoja na kusimamia hakiTatizo sio sheria, tatizo ukiongozwa na wahuni kila kitu kinakuwa cha kudharaulika, iwe Polisi, iwe huduma ya usafiri, ujenzi , Elimu , afya, majudiano n.k
Mtu mwenye elimu mbalimbaliUkisikia hivyo ujue wanakwenda kupiga simu kwa mtu ambaye hakusoma sheria awape maelekezo ya kisheria.
Sawa na engineer aliyesoma miaka minne akichukua maelekezo toka kwa mbunge darasa la saba kuhusu tatizo la kiuhandisi.
Kuna mhimili mmoja ule usiojulikana, umeusahauMihimili mipya ni CCM na Polisi.
Hata jeshi limewekwa kibindoni.