Ni matumaini yetu Jaji Mkuu Masaju atarekebisha hili,Sasa tulitegemea hao wanasheria kwa umoja wao na umuhimu wao wanaotaka kutuaminisha waweze kudhibiti hao wahuni. Ukitamka "rushwa" moja kwa moja unagusa sheria. Hii taaluma imepoteza mwelekeo. Bora polisi maana hao wamejengwa kufuata oda kama roboti. Sheria imejengwa kujenga hoja na kusimamia haki
Sasa aje kumtoa akitegemea kuwa dunia haijui kinachoendelea? Siasa ni ngumu sana. Aliiweza Mwinyi, Mkapa na Jakaya tuKesi ya lissu ni maeleke, pale mahakamani ni maigizo tu!.
Chura kiziwi anachotaka ni lissu afungwe kisha aje kumtoa dunia yote iseme mama ana huruma, mnawajua tena wanawake kwa kupenda sifa za kijinga!!.
Nilipogundua sheria inafanywa kuwa ngumu bila sababu ni hii kesi ya Lissu. Yani kesi ya msingi hadi inasahauliwa na watu kuanza kudeal na vikanuni viingi hadi kero. Mfano suala la mashahidi wa siri ni kesi inayojitegemea ndani ya kesi ya msingi. Hii inaweza kuchukua miezi 6 kukamilika ndipo watu warudi kesi ya msingiSheria ni kitu kimenyooka, lkn utashangaa vile watu wanavyopindisha mambo linaonekana bonge la issue...
Kusoma na kukariri na kujaribu kuelewa kitu ambacho wengine wametunga kwa matakwa yao nacho ni kitu cha ajabu kiasi..
Mfano sheria kipindi cha Apartheid SA, sheria za kipindi cha Ukoloni ambazo mpaka sasa zinaendelea etc....