Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Nyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.

Screenshot_20200606-100106_Twitter.jpg

Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
IMG_20200605_065109.jpg
 
Huyu hana hadhi ya kuwa Waziri ni kilaza sana sana, hana maturity na hana wisdom kbsa, kapewa level ambayo hakupaswa kuwa nayo, hafai hata kuwa naibu Waziri, Upumbavu mtupu, Mbona Rais haoni haya nchi hii tunadharaurika kisa mautopolo Kama hawa. Viongozi hawaelewi neno integrity!?
 
Sasa ivi wazungu wengi wako broke kutokana na Covid 19. Wizara inabidi i freeze tozo zote wanazotozwa watalii ili waendelee kuja for the sake ya hotels na ajira zingine.

Otherwise mtu akiwa na hela ya kupanda ndege na kuweza kukodi gari la kwenda mbugani, aje.. Mambo ya vitu kama Viza, iwe free for the next three months mpaka utalii utakapo peak up.
 
Huyu hana hadhi ya kuwa Waziri ni kilaza sana sana, hana maturity na hana wisdom kbsa, kapewa level ambayo hakupaswa kuwa nayo, hafai hata kuwa naibu Waziri, Upumbavu mtupu, Mbona Rais haoni haya nchi hii tunadharaurika kisa mautopolo Kama hawa. Viongozi hawaelewi neno integrity!?

We inaonekana una chuki binafsi na Kigwangala
 
Uzuri muda bado upo wa kujipanga ,hata hivyo kujiuzulu ni jambo jema ili wsteuliwe wasio kata tamaa.
 
Nyie MATAGA mkipewa mbinu ya kupambana na majanga makubwa mnaleta jeuri na kibri siyo?
Haya kuna mwenzenu humu amekata tamaa japo alitoa hadi video na kuhamasisha.

View attachment 1469976

Halafu na nyie watu wa I.T ndiyo nini kutujazia mazagazaga hivyo mezani? Hamjui kuwa yanaonekana kwenye video?
View attachment 1469977
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waziri kazini

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom